album cover
Shuhuda
album cover
Shuhuda wurde am 7. Juni 2024 von Kadason Music als Teil des Albums Shuhuda - Single veröffentlicht
7. Juni 2024
LabelKadason Music
BPM87
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Songtexte

Umenitendea tena
Umenitendea wema
Napendezwa jinsi unavyonijibu
Maombi yangu unavyonijibu
Napendezwa jinsi unanibariki
Kazi zangu unanibariki
Nashindwa kujizuia
Kinywa changu
Kuyasema Ulonitendea
Bwana wangu
Ulinifunza kuvumilia
Magumu yangu
Maana ndipo uliziweka
Baraka zangu
Umenitendea tena
Umenitendea wema
Umenitendea tena aa ah
Umenitendea wema
Ohooo ye ye yeh ona nanana
Nilivyokuomba kwa uaminifu
Umenipaa
Umenipa na ziada
Baraka zako zinamwagika
MUNGU wa Viwango
Majibu yako uhakika
Umenipa vile Bora
Bora sana Nimeridhika
Nashindwa kujizuia
Kinywa changu
Kuyasema Ulonitendea
Bwana wangu
Ulinifunza kuvumilia
Magumu yangu
Maana ndiko uliziweka
Baraka zangu
Umenitendea tena
Umenitendea wema
Umenitendea tena aa ah
Umenitendea wema
Written by: Thadeo Peter Bundallah
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...