album cover
Tena
album cover
00:05
00:15
00:20
00:25
00:30
01:05
01:15
02:05
02:10
02:20
02:25
02:35
03:05
00:00
03:28
Letzte 7 Tage
Tena wurde in der vergangenen Woche am häufigsten etwa 30 sekunden nach des Songs entdeckt

Musikvideo

Musikvideo

Songtexte

[Verse 1]
Kuna binadamu nampenda
Aii, jamani ameniweza
Naona analiyumbisha dishi la moyo wangu
Kiukweli ameniweza
[PreChorus]
Mpenzi ninaye na natamba naye
Sikuizi naoga vizuri napendeza na ninavyo nona msinishangae
Sikuizi nala vizuri nalala naye
Nampenda kuliko kula
Nampenda kuliko hela
Asa nani anabisha
Na sasa nishaacha usela
Msitake nikafie jela eti nani anabisha
[Chorus]
Nimuache huyu ni nani kasema
Mbona mwingine mi sina tena
Nimempa mwili akili na mtima
Maana mwingine mi sina tena
[Verse 2]
Zingatia body mcheki sura
Jamani anapendeza tumpe maua yake
Penzi lake nalipia kodi kugharamia
Muoneni anapendeza na vimacho vyake
[PreChorus]
Mpenzi ninaye na natamba naye
Sikuizi naoga vizuri napendeza na ninavyo nona msinishangae
Sikuizi nala vizuri nalala naye
Nampenda kuliko kula
Nampenda kuliko hela
Asa nani anabisha
Na sasa nishaacha usela
Msitake nikafie jela eti nani anabisha
[Chorus]
Nimuache huyu ni nani kasema
Mbona mwingine mi sina tena
Nimempa mwili akili na mtima
Maana mwingine mi sina tena
[Outro]
Mlioko single nawasaba hi hi hi hi hi hi
Na ubachela nishauaga bye bye bye bye bye bye
Written by: Ramadhan Daniel, Zulfa Mohamed Ibrahim
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...