album cover

Bongo

18.114Afro-Pop2025
album cover
Bongo wurde am 18. April 2025 von Independent als Teil des Albums Bongo - Single veröffentlicht
Veröffentlicht18. April 2025
LabelIndependent
BPM114
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Musikvideo

Musikvideo

Songtexte

[Verse 1]
Duniani ukitaja watu wenye tabia fyongo
Fyongo
Kuna wana wa Israeli alafu kuna Wabongo
Wabongo
Ila Wabongo jamani Bongo
Hii nchi bora ukose chakula ila sio kabando
Tushaambiwa sana sana
Kwamba tutunze wanyama
Ila Zuchu kampenda Simba
Kaonekana king'ang'a
Oya Bongo ni majanga
Yani kutwa ni visanga
Ata mwanaume wa shoka akijichanganya anakufa kwa panga
Yani kama manara wanavyomwandama hii Bongo nuksi
Eti kaoa mke mrefu alafu ndoa fupi
Kweli Bongo sio poa mpaka jiki mnaitia madoa
Nimelala peke yangu naamka nakuta nimeoa
[Chorus]
Jamani Bongo Bongo Bongo
Bongo Bongo Bongo
Bongo Bongo Bongo
Bongo Bongo
Jamani Bongo Bongo Bongo
Bongo Bongo Bongo
Bongo Bongo Bongo
Bongo Bongo Bongo
[Verse 2]
Bongo dada anayetafuta na kupigapiga vitenda
Huyo anaitwa malaya siku akionekana amejenga
Bongo unapata pisi kali
Kama tunda unalipenda
Alafu unakuja kugundua
Tunda shosti yake blenda
Bongo kuna makabila ukiyaoa umevrongi
Maana mkiachana unatungiwa masongi
Mtu kwake kapangisha kaja kwake kumbonji
Ukimuliza anasema nyumbani lodge
Ukiskia wagambo wanaruka na kukanyagana (Bongo)
Kiwete anapiga dana dana (Bongo)
Tembo anapita njia za panya (Bongo)
Bongo Bongo
Ukitaka watu wanajua kubanaa (Bongo)
Mambo mengi watakuchanganya (Bongo)
Mtu anakula wiki nzima hajaja
[Chorus]
Jamani Bongo Bongo Bongo
Bongo Bongo Bongo
Bongo Bongo Bongo
Bongo Bongo
Jamani Bongo Bongo Bongo
Bongo Bongo Bongo
Bongo Bongo Bongo
Bongo Bongo Bongo
[Verse 3]
Bongo joto na tushazoea hiyo hali
Mpaka Lamata analalamika
Anasema Bongo jua kali
Yani kutwa kuchakarika
Watu wanatafuta visalary
Huku kurwa mapikipiki
Kule kuna doto magari
Nasema Bongo sihami (Bongo)
Nyumbani nyumbani (Bongo)
Watu hawana utani wanatafuta mademu msibani (Bongo)
Written by: Kontawa Kontawa

Shazam-Fußzeile

Sprache auswählen:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Folge uns auf:

Loading...