album cover
Copy & Paste
album cover
00:00
00:05
00:15
00:35
00:55
01:10
01:20
01:25
01:35
02:10
02:25
02:45
00:00
03:10
Letzte 7 Tage
Copy & Paste wurde in der vergangenen Woche am häufigsten etwa 35 sekunden nach des Songs entdeckt

Musikvideo

Musikvideo

Songtexte

[Verse 1]
Picha linaanza kama ndoto
Najiona kama ndiyo nimezaliwa
Nilicho gundua dunia ni utoto
Nilipo gundua mi maiti mtarajiwa
[Verse 2]
Dunia inatisha wakati wewe unapambana kusali
Kuna wanga wanakuombea ufeli
Riziki ndiyo kisa, wanakabana, wanayongana
Wambie kama life boti haachwi mtu feli
[Chorus]
Wanangu mtaji pumzi, si unapumua (Tunapumua mwanetu)
Struggle za life, we si unajua (Tunazijua mwanetu)
Wanangu wa Temeke waliimba "kamua"
Life si unajua, unajua (Ni kukamua mwanetu)
[Chorus]
Life ni ku-run run, shida za kitaani taani
Kwani asizijue ni nani (Wanazijua mwanetu)
Iwe nyeusi ama kijani, kwenye riziki hakuna utani
Kama geto tunafua (Ni kukamua mwanetu)
[Refrain]
Ni ku-copy na ku-paste
Ghafla maisha yamekuwa mepesi
Kwa mchizi wa Bongo
Ana copy, ana paste
Oya oya oya
Oya, wana ni copy na ku-paste
Ghafla maisha yamekuwa mepesi
Mchizi wa Bongo
Ana copy, ana paste
Oya wee, oya oya
[Verse 3]
Gilbert, mchizi wa Tandale
Alikuwa anauza mihogo koko, siku hizi anaishi Madale (Amejipata)
Fata ndoto zako, usifate za wale watakupoteza
Ngumi ya kichwa chapa kalale (Ni utata)
[Verse 4]
Pakanja pakanja, refarii na kiranja
Sister duu kala modo, brother men kapaka wanja
Vunga ukitukuta viwanja jicho jekundu
Japo hatujakula ganja
[Chorus]
Wanangu mtaji pumzi, si unapumua (Tunapumua mwanetu)
Struggle za life, we si unajua (Tunazijua mwanetu)
Wanangu wa Temeke waliimba "kamua"
Life si unajua, unajua (Ni kukamua mwanetu)
[Chorus]
Life ni ku-run run, shida za kitaani taani
Kwani asizijue ni nani (Wanazijua mwanetu)
Iwe nyeusi ama kijani, kwenye riziki hakuna utani
Kama geto tunafua (Ni kukamua mwanetu)
[Refrain]
Ni ku-copy na ku-paste
Ghafla maisha yamekuwa mepesi
Kwa mchizi wa Bongo
Ana copy, ana paste
Oya oya oya
Oya, wana ni copy na ku-paste
Ghafla maisha yamekuwa mepesi
Mchizi wa Bongo
Ana copy, ana paste
Oya wee, oya oya
Written by: Ibrahim Abdallah Nampunga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...