Musikvideo

Musikvideo

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kudy Bee
Kudy Bee
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lewis Amagoya
Lewis Amagoya
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Jigedyzer
Jigedyzer
Producer

Songtexte

Fungua moyo wangu
Uone vitu viwili
Kuna upendo
Alafu kuna wewe
Fumba macho yako
Uone vitu viwilii
Kuna njiwaa
Ameleta barua
Najua utaambiwa Lee
Anatoka na Linah
Moyo wake ndo kwao
Alikozama kina
Mara hoo
Wataja rudiana
Nia zao, uniache
Ee Mola nijalie
Sauti kama Rayvanny
Mtoto nimwimbie
Nimwambie baby I love you
Na umpatie
Uvumilivu wa Fahyma
Anivumilie
Nijapotapatapa asikimbie
Baby iiii iii ii
Nguru,
can you be my sukariguru
Nguru,
nikulambe lambe tulale tukiamuka
Nguru,
Can you be my sukariguru
Nguru,
Hata nikishiba nipretend nina njaa
Staki uwee,
Kama konde Kajala uniache kisa anasa
Unisumbue,
Ukose zari kwa Wema ukifwata Zuchu
Nami nina wasiwasi baby
Duniani matapeli ni weengi
Wasijekufumba macho
Uokotwe na kina
Ua Sama
Iweje naambiwa Lee
Unatoka na Linah
Moyo wake ndo kwako ulikozama kina
Mara hoo mtajarudiana
Ama nia zao, Nikuache!
Ee Mola nijalie
Sauti kama Rayvanny
Mtoto nimwimbie
Nimwambie baby I love you
Na umpatie
Uvumilivu wa Fahyma
Anivumilie
Nijapotapatapa asikimbie
Baby iiii iii ii
Nguru,
can you be my sukariguru
Nguru,
nikulambe lambe tulale tukiamuka
Nguru,
Can you be my sukariguru
Nguru,
Hata nikishiba nipretend nina njaa
Written by: Lewis Amagoya
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...