album cover
Sonia
5.340
Music
Sonia wurde am 24. November 2000 von Sony Music Entertainment East Africa als Teil des Albums veröffentlichtNini Chanzo
album cover
Veröffentlichungsdatum24. November 2000
LabelSony Music Entertainment East Africa
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie
BPM97

Credits

PERFORMING ARTISTS
Juma Nature
Juma Nature
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
Composer
Juma Kassim Ally (Juma Nature)
Juma Kassim Ally (Juma Nature)
Lyrics
Marijani Rajabu JR
Marijani Rajabu JR
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
P-Funk Majani
P-Funk Majani
Producer
Marijani Rajabu JR
Marijani Rajabu JR
Producer

Songtexte

Ni mzozo, nikitoa kwanza siri nikiungua siforce
Ndo maana narudia kukupangia kikubwa msosi
Kimpangilio wa life
Tulisongeshe kivyetu tule tusaze na tubakize
Mazagazaga yote tukatulize kwenye ufukwe
Mbona unazubaa na huu wakati unaopoteza
Njoo tujenge maisha hata wazazi kuwajulisha
Jipe jipe moyo tupange mikakati ya harusi
Tuwaalike hata na wale ambao ni wapambe nuksi
Usijali watoe maneno makali
Watajenga chuki mwisho watacheka kiko wapi?
Kiranga kilichotiwa mpupu moto wa papi
Hawana wanayosemakumi hamsini ni masimango na hayana hata mpango
Bhana we bhaache bhaseme bhaka bhachoke
Mishipa misuli itoke waache makeke
Wataonekana watoto wadogo ambao hawana lolote
Rembua macho sema kile kitu utakacho
Moja baridi moja ni moto chaguo ni lako tu
Na maneno kuzikamata tu fedha ni zangu tu
Njoo tutimize kile ambacho kimesadikika, gundulika
Aminika kuwa mkweli usiobadilika
Mtoto sonia mimi nimekuzimia
Katika kukupenda mimi nimeonyesha nia
Mtoto sonia mimi nimekuzimia
Katika kukupenda mimi nimeonyesha nia
Sonia ( so sonia )
Mi nakupenda ( mi nakupenda )
Njoo tulia ( njoo tulia )
Tupeane denda ( tupeane denda )
Sonia ( so sonia )
Mi nakupenda ( mi nakupenda )
Njoo tulia ( njoo tulia )
Tupeane denda ( tupeane denda )
Wapambe msilete zenu za ubaguzi wa maneno
Mnabagua mazuri mabaya mnayaficha
Si kama nafagia natukutuka gonjo nisijelivaa
Na ‘sa mnapanga mbinu za kuyapakua na kuyamwaga
Ili waungwana wacheke nikose mke
Kinachowakera sijui nini somo?
Au mnaona wivu msosi na kukomba ujiko
Nitotolee makusudi niseme nashusha toka mtoni unisomi?
Hereni ni miguuni mpaka shingoni
Mtakufa na migundi gundi haloo mlionayo hivyo
Waache wasemeane si tupendane
Ikiwezekana tuoneshane upendo hadharani
Wapatwe na homa kali midomo kufunguka na iwe mwiko kimminyiko
Si wadogo, ni wengi mfano wa mvua za mafuriko
Ni mishale ya kizazina saa nzima wanapanga vina na hasa vina vile vya ushankunabe ungangabe
Kupangilia maneno kwa kutumia ubabe
Kina mtelezo jitahidi angalau kumeza
Iingie sikio hili litokee sikio la upande wa kule
Wasikuongopee bure
Sonia, come here hakuna maisha ya mchezo ukizubaa ni kifo
Na baadae ni sala halafu yanafata maziko
Sijui utamwambia nini Mungu aliyekuumba
Uliambiwa usizini na ukazini
Adhabu itakua kali utashindwa kumuaga hata mamaako
Naskia bakora miamoja na kuongezewa sitini
Kisa kitoto ulizozoea kipindi uko shuleni
Mtoto sonia mimi nimekuzimia
Katika kukupenda mimi nimeonyesha nia
Mtoto sonia mimi nimekuzimia
Katika kukupenda mimi nimeonyesha nia
Sonia ( so sonia )
Mi nakupenda ( mi nakupenda )
Njoo tulia ( njoo tulia )
Tupeane denda ( tupeane denda )
Sonia ( so sonia )
Mi nakupenda ( mi nakupenda )
Njoo tulia ( njoo tulia )
Tupeane denda ( tupeane denda )
Written by: Juma Kassim Ally (Juma Nature), Marijani Rajabu JR, Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...