album cover
Hello (feat. Erick)
album cover
Hello (feat. Erick) wurde am 9. August 2025 von 5200155 Records DK als Teil des Albums Her Against Me veröffentlicht
9. August 2025
Label5200155 Records DK
BPM104
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Songtexte

Nami nina moyo siyo chuma
Vumilia nisipagawe
Wangu mtima
Ndege masikini azaii
Akizaa anachechemeya
Wengi wawo wanadayi
Umeniroga wee Umenikalia
Huna makosa dada
Nakupenda ivyo ivyo Tusiwasikize
Hello Moyo wangu low
Posa lako likiwa low
Nita mwaga snow
Hello Moyo wangu low
Posa lako likiwa low
Nita mwaga snow
Wananiita loko
Kisa nakupenda wewe
Ukiza tupa kwa Coco
Twende zetu Togo
Mollah kanipa zaidi yawo
Ona waishi kutanga
Bila aibu
Kuchongachonga
Ya kwetu tu
Nasema Hello Moyo wangu low
Posa lako likiwa low
Nita mwaga snow
Hello Moyo wangu low
Posa lako likiwa low
Nita mwaga snow
Written by: Erick Kilosho, Yajuwamungu Bora
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...