album cover
Top Form
album cover
Top Form wurde am 8. April 2021 von Sony Music Entertainment East Africa als Teil des Albums Top Form - Single veröffentlicht
8. April 2021
LabelSony Music Entertainment East Africa
BPM
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Musikvideo

Musikvideo

Songtexte

[Verse 1]
Mwaka mzima hakuna show sa unatakaje
Ka kicookie rent haishuki
Na mi ni mzazi vitu sihitaji zinafeel stupid
So sikupi mziki huhitaji
Kwa ufupi chini si stoop mimi niko juu vile huwezi imagine
Watu wanataka hope niitoe wapi
Mi mwenyewe nashangaa hii 'rona joh kutaendaje
Vitu ka mng'aro kwanza nishatoa kwa budget
Sijali kwa gram hizo mapicha zinatokaje
Madeni za masupplier
Grown men sa wanagwaya
Pia mi naomba nipeni chance ka KEMSA hawana haya
Ulimjudge sa unamuita mentor ju kuna pesa kwa umalaya
Shingo inameremeta anakaa influencer wa mawaya
Mi huwa na simu ukiniita bash nakuja na team
Na look inaclash na sura ya ndim
Na watu natrust ndio watu naheshimu
Ka kuna cash ndio nashika simu
Ka niko works nakuwanga machine
Nalipa tax na nalipa bill
Ndio maana ni black alafu ya
Scene
[Verse 2]
Hao mayoungin' wananeed mentorship
More than wananeed censorship
Kwa street mi ni evangelist
Wanaserve tea mi naserve confidence
Success si by accident
Na usifocusie past events
Na rule book jua tu must ibend
The good book said don't judge me man
Kwa top three mi ni number one to three
Of course hii city iko na love for me
Naapproach hii kitu kama destiny
Masoftie ndio huwanga walaoud vizii
Ka hunioni ata mi sikuoni
But haifiki jioni ka huniskii radioni mi ni ka news
We ata na miwani ata na binocular
Bado mi sikuoni paid my dues
My lifestyle choices ni headline news
Hufai kuwa unajam nikiheadline shows
Grown ass men complain like hoes
Kusign wasanii haina deadline bro
Yup I'll do it when I do it
Mwaka mzima hakuna show acha tuziashe acha tuziashe
Kilimanjaro tu ndio itapita hii highness
Ama collabo kati ya mi na South C's finest (R.I.P)
Ata kwa mtaro utanipata na designer
[Outro]
Acha tuziashe
Kilimanjaro ndio itapita hii highness
For my people I do whatever it takes
Written by: Nyamari Ongegu, Sam Are
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...