album cover
Hayanogi
album cover
00:00
00:05
00:35
00:45
00:55
01:15
01:25
01:30
01:35
01:45
01:50
02:25
02:45
02:55
03:05
03:15
00:00
03:25
Letzte 7 Tage
Hayanogi wurde in der vergangenen Woche am häufigsten etwa 55 sekunden nach des Songs entdeckt

Songtexte

[Intro]
Kimambo on the beat
[Verse 1]
Taarifa zangu unajua, wazi zinakufikia
Hii si kawaida nateseka mwenyewe moto umeungua
Najua, najua, najua, ni ngumu kujirudia
Maana baada ya wewe, waliofika wote hazikushika hisia
Siku nikikuona nitakukumbatia kwa raha
Maana dalili ya kupona nishajiona sina
Na ushakoka moto wa kunichoma, hutazami nyuma
Na ushapata tulizo la moyo, hunipendi tena
[PreChorus]
Na mapenzi hayajaribiwi, nishajaribu kwingine
Nimeshindwa kumaintain
Mi nakutaka wewe na siyo mwengine
Basi tafutie tafutie visababu muachane turudiane
Nimeshindwa jikaza, nimeona bora nikuchane leo
[Chorus]
Hayanogi hayanogi
Maisha yangu bila wewe
Hayanogi
Haunogi haunogi
Usingizi wangu bila wewe
Haunogi
[Verse 2]
Ningepata hasara, huenda swala la muda kuteketea
Ningempata wa kunishika mkono, dhahiri wazi najionea
Hivi huna huruma, hauna hata muda wa kunifikiria
Nimefika kikomo nimeweka mgomo naweka wazi nayoongea
Hivi atanikifa nitaenda kuzikwa na nani?
Mambo yamebadilika, haupo kama zamani
Ile kupanda shuka, unanijia usingizini
Mi kwangu pamechacha hupataki hupatamani leo
[Outro]
Na mapenzi hayajaribiwi, nishajaribu kwingine
Nimeshindwa kumaintain
Mi nakutaka wewe na siyo mwengine
Basi tafutie tafutie visababu muachane turudiane
Nimeshindwa jikaza, nimeona bora nikuchane leo
Written by: Yasirun Yasin Shaban
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...