Songtexte

Dear gambe umefanya maisha yangu ya yumbe, MI nimpambe wako leo nimekutumia ujumbe, MI ndugu yako nipe ukweli usini fumbe, Uwepo wako karibu vp unafanya ni yumbe, Kila muda kwene friji unajipoza, MI domo zege nikisha kutumia natongoza, Nalewa usiku kucha jua lina chomoza, Nasindikiza na supu asuhi njema unaniongoza, We ni nani unaiyendesha hi akili, Nnikiwa na mawazo unanitoa stress nisifikili, Ukiwa mezan chupa kadhaa sijiwezi, Mpaka mtaani washa nipa jina jingine la mlevi, Unafanya nafubaa mi mwenzako, Hadi kazini naiba chapaa nije kwako, Dear gambe mitaa ipe ukweli wako, Nakila ugomvi wa baa kwanini chanzo ni chako. VERS 2; Unafanya ndoa nyingi zinavunjika, Hasi chanya we na msosi nikichanganya na tapika, Aukatai kila mteja anae kuarika, Unafurahi na ubaridi wa maji una chilizika, Likitokea tatizo we ndo kimbilio, Nakutinga nakua muongeaji bila mpangilio, Nasahau kinga tamaa ndo kimbilio, We ni funda la ziada unaniumbua mi mwenzio, Unarainisha koo kifikla unani bembeleza, Unani kontro sijasoma naongea hadi kingereza, Usha niweza nani aliye kutengeneza, Na nini aliwaza nawe ni mbaya kwa wasio jiweza, Sa najinyea nanilikunywa kwa furaha, Najikojolea unani athiri na ninatoa cha paa, Dear gambe mitaa ipe ukweli wako, Nakila ugomvi wa baa kwanini chanzo ni chako. VERS 3; Dear gambe unanichanganya sana, Unamajina mengi mpaka ya mbuga za wanyama, Nashangaa, mengine yanatia kinyaa, Mfano mzuri nigongo chimpumu hata cha ng"aa, Kwenye ubongo umetawala kila secta, Niukweri siwezi kua nawe bila pesa, Watu wengine wana kula ada kisa wewe. Unawafanya wanasahau ibada, Na juzi juzi tu nimepata khabari, Kuna mwana ulikua nae ameshapata ajaLI, Dear gambe nikweli unanichosha, Napenda kua nawe ila nyumbani mboga wanakosa, Nawaza jinsi gani ntakuacha, Mpaka wazalendo wa dini bahadhi kwako wame data, Hakuna utata poa sasa najikata, Kapuku nikizipata ntakufata...
Writer(s): Lee Perry, Bob Marley Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out