album cover
Chakacha
album cover
Chakacha wurde am 26. Juni 2001 von ARC als Teil des Albums Mambo Jambo veröffentlicht
26. Juni 2001
LabelARC
BPM130
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Songtexte

[Verse 1]
Ulisema ati sina pesa
Ulisema ati sitoweza
Ukaniwacha nenda pekee yangu
Sasa mama we walia mwenyewe
[Refrain]
Mama lea mtoto wangu
Siwezi bwana
Mama lea mtoto wangu
Siwezi bwana
Mama lea mtoto wangu
Siwezi bwana
Mama lea mtoto wangu
Siwezi bwana
[Verse 2]
Ulisema ati sina shegi
Ulisema ati ni mbovu
Ukaniwacha nikaenda kwa sugar mummy
Sasa mama we 'unkula huu
[Refrain]
Mama lea mtoto wangu
Siwezi bwana
Mama lea mtoto wangu
Siwezi bwana
Mama lea mtoto wangu
Siwezi bwana
Mama lea mtoto wangu
Siwezi bwana
[Verse 3]
Leo ni leo
Leo ni leo
Tutauona mpambano
Kweli si urongo
Kijembe tongoka mpini nikutie kibanio
Kijembe tongoka mpini nikutie kibanio
Nimepata dereva ajuaye
Gari yangu yenda mbio
[Verse 4]
Shilingi yang'ara yao shilingi yang'ara
Shilingi yang'ara yao shilingi yang'ara
Shilingi yang'ara yao shilingi yang'ara
Shilingi yang'ara yao shilingi yang'ara yaua
[Bridge]
Ulitaka mwenyewe
Kucheza na mimi
Mwenyewe sitaki
Kucheza na wewe
Msogele wala usimwache (Msongele)
Msogele wala usimwache (Eh msongele)
Msogele wala usimwache (Msongele)
Msogele wala usimwache (Msogele)
[Verse 5]
Yomi yomi liyomi
Aliswabaha liyomi
Yomi yomi liyomi
Aliswabaha liyomi
Yomi yomi liyomi
Aliswabaha liyomi
Yomi yomi liyomi
Aliswabaha liyomi
[Verse 6]
Kuna mnazi mmoja wapanda watu watatu
Kuna mnazi mmoja wapanda watu watatu
Akianguka mmoja
Hamadi mwana wa watu
Akianguka mmoja
Hamadi mwana wa watu
Written by: Traditional
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...