Musikvideo

Lunch Time
Schau dir das Musikvideo zu {trackName} von {artistName} an

Vorgestellt in

Credits

PERFORMING ARTISTS
Gabriel Omollo
Gabriel Omollo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Gabriel Omollo
Gabriel Omollo
Songwriter

Songtexte

Sasa ni lunchtime Tufunge makazi Twende kwa chakula Tuje tena saa nane Wengine wanakwenda kulala uwanjani Kumbe ni shida ndugu Njaa inamuumiza Wengine wanakunya soda na keki Huku roho yote kwa chapati na ng'ombe Na wengine nao wazunguka maduka Huku wakijidai wanafanya window shopping (Lunchtime) Kufiikamwisho wa mwezi Uwanja tire mundu Ukipata anaye lala ni asiye na kazi Wamekwenda wote kula hotelini Wengine kwa biriani Wengine kuku na wali Watu wa Industrial Area watoroka maharagwe Waenda hotelini Kwa chapati na ngombe Na wengine nao wale mishahara juu Siku hiyo wote kwa hoteli za wazungu Kumbe shida ndiyo hufanya Mtu kulala chini ya miti Kumbe shida ndiyo hufanya Mtu kungangana na maharagwe Kumbe shida ndiyo hufanya Mtu kuonekana kama mtoto Nimeelewa ee nimeelewa oh Nimejua kumbe ni shida oh Nimeelewa ee nimeelewa oh Nimejua kumbe ni shida oh Twanga ngoma Mtu kulala chini ya miti Kumbe shida ndiyo hufanya Mtu kungangana na maharagwe Kumbe shida ndiyo hufanya Mtu kuonekana kama mtoto Nimeelewa ee nimeelewa oh Nimejua kumbe ni shida oh Nimeelewa ee nimeelewa oh Nimejua kumbe ni shida oh
Writer(s): Omolo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out