album cover
Abibi
album cover
Abibi wurde am 17. Juli 2013 von Interglobe Music als Teil des Albums Innocent veröffentlicht
17. Juli 2013
LabelInterglobe Music
BPM196
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Songtexte

Wakati nakuona, najipa moyo sana
Pia nasema, ahsante kwa Mungu aliyekuumba
Kila nyumba, bila we ni kama jangwa
Nimejaribu kutembea kidogo
Nimeona kuume na kushoto
Umeyang'arisha miji zetu, kwa uzuri na urembo wako
Nimejaribu kusafiri karibu na mbali
Nimejaribu kusafiri karibu na mbali
Umependeza miji za ulimwengu, weeh
Ndiyo maana watu wanakupenda
Abibi, Abibi
Abibi, Abibi
Abibi, Abibi
Abibi, Abibi
Umeonesha maana, unayo ndani ya maisha
Naona watu wengi, wametabasamu kila wakati
Unaposema (Sema)
Unapoimba (Imba)
Unapocheka Abibi
Kupitia wewe, Mungu amejaza dunia na raha na akili
Yote haya yananituma, kuimba jina lako nzuri
Abibi, Abibi
Abibi, Abibi
Abibi, Abibi
Abibi, Abibi
Abibibi
Abibibi
Abibibi
Abibibi
Abibibi
Abibibi
Abibi, Abibi
Abibi, Abibi
Abibi, Abibi
Abibi, Abibi
Abibi, Abibi
Abibi, Abibi
Abibibi
Abibibi
Abibibi
Abibibi (Abibibi)
Abibibi (Abibibi)
Written by: Innoss'B
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...