album cover
Jipe
3
Music
Jipe wurde am 15. Mai 2026 von Mj Records als Teil des Albums Jipe - Single veröffentlicht
album cover
Veröffentlichungsdatum15. Mai 2026
LabelMj Records
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie
BPM123

Songtexte

[Intro]
Kiganjani sienei na jeuri ninayo
Verse
Siku hizi nkinywa silewi
Moshi hata siwaki
Mapenzi ndio kabisa siyaelewi
Naona ya kiwaki
Naombeni aibu nyingine
Hii hapa naiweza
Hii hapa naimudu
Na siogopi kupoteza
Pre-Chorus
Kiganjani sienei na jeuri ninayo
Kiganjani sienei na jeuri ninayo
Kiganjani sienei na jeuri ninayo
Kiganjani sienei na jeuri ninayo
Chorus
Raha jipe mwenyewe
Raha jipe mwenyewe
Raha ya kunywa ulewe
Hela ya mchezo isi chezewe
Raha jipe mwenyewe
Raha jipe mwenyewe
Raha ya kunywa ulewe
Hela ya mchezo isi chezewe
Pre-chorus
Kiganjani sienei na jeuri ninayo
Kiganjani sienei na jeuri ninayo
Chorus
Raha jipe mwenyewe
Raha jipe mwenyewe
Raha ya kunywa ulewe
Hela ya mchezo isi chezewe
Raha jipe mwenyewe
Raha jipe mwenyewe
Raha ya kunywa ulewe
Hela ya mchezo isi chezewe
Pre-Chorus
Kiganjani sienei na jeuri ninayo
Kiganjani sienei na jeuri ninayo
Kiganjani sienei na jeuri ninayo
Kiganjani sienei na jeuri ninayo
Written by: Daxo Chali
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...