album cover
Du
album cover
Du wurde am 10. Mai 2026 von LR GLOBAL als Teil des Albums Du - Single veröffentlicht
10. Mai 2026
LabelLR GLOBAL
BPM96
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Musikvideo

Musikvideo

Songtexte

Eeeh baby…
LR GLOBAL on the beat… Tredo…
Aahh yah yah…
Du… dududu… moyo wangu du…
Nakupenda baby, usiniache du…
Du… dududu… moyo wangu du…
Wewe ni wangu, kwanini uniache du…
Du… dududu… nakupenda du…
Yani mpaka kisogoni du…
Du… dududu… moyo wangu du…
Baby nakuhitaji du…
Nikikuona napoteza akili,
uwepo wako baby unanifanya nisilale,
Tabasamu lako lanifanya nipagawe,
Wewe ndiye penzi langu wallai we,,
Usiku nakuwaza kila muda,
Hakuna mwingine kama wewe mbele nyuma,
Nikikuangalia nagongwa na ukuta,
Mapenzi yafanya moyo wangu watoroka.
Karibu karibu, usiende mbali,
Moyo wangu tayari ni wako baby,
Nikikushika nahisi amani,
Wewe ni wangu for life baby…
Du… dududu… moyo wangu du…
Nakupenda baby, usiniache du…
Du… dududu… moyo wangu du…
Wewe ni wangu, forever du…
Nikitembea nahisi kajishidia,
Wanaosema mapenzi yetu yakuangamia,
Shika mkono twende mbali pamoja,
Mapenzi yetu jibu itawapatiaa.
Wewe do unafanya mimi naimba,
Na nyimbo zangu zote kwako sifa,
Chuchuma nami nikupe mimba ,
Unizalie mtoto kitinda mimbaaa.
Du… dududu…
Nakupenda baby…
Du… dududu…
Moyo wangu ni wako…
mhhhh… mhhh… talalala…mhhh mhhh,LR GLOBAL RECORDS,,DO TUMEANZA SASA
Written by: LR GLOBAL
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...