album cover
Nitamfata
album cover
Nitamfata wurde am 12. Juni 2026 von Winning Music/ONErpm als Teil des Albums Nitamfata - Single veröffentlicht
12. Juni 2026
LabelWinning Music/ONErpm
BPM186
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Songtexte

[Verse 1]
Somebody call 911 nimempata mwizi
Aloniibia moyo wangu
Anayeivuruga akili yangu
Anayenichanganya usiku silali mpaka
Nione sura yake video call
Au nimfate alipo ooh
[PreChorus]
Maana nisipo muona ndoto sioti
Na nikiota ndoto inatisha
Na mzuri kama yeye simuoni
Macho yangu kila ninapopitisha
[Chorus]
Hata usiku wa manane
Nitamfata nitamfata aah
Hata iwe mbali kiasi gani
Nitamfata eeh
Hata nikose usafiri
Nitamfata nitamfata aah
Hata iwe mbali kiasi gani
Nitamfata eeh
My baby nitamfata
[Verse 2]
My baby nikiwa nawe naona siku kuu
Nikiwa nawe najiona tajiri
Nikiwa nawe naona vita zote nimeshinda
My baby chukua wote wote mwili huu
Sema kingine unataka nini
Naapa kwa gharama yoyote nitakulinda nitakulinda
[PreChorus]
Maana nisipo muona ndoto sioti
Na nikiota ndoto inatisha
Na mzuri kama yeye simuoni
Macho yangu kila ninapopitisha
[Chorus]
Hata usiku wa manane
Nitamfata nitamfata aah
Hata iwe mbali kiasi gani
Nitamfata eeh
Hata nikose usafiri
Nitamfata nitamfata aah
Hata iwe mbali kiasi gani
Nitamfata eeh
My baby nitamfata
Written by: Gabus Juma
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...