album cover
Password
album cover
Password wurde am 5. April 2026 von Fake Smile Tz als Teil des Albums Password - Single veröffentlicht
5. April 2026
LabelFake Smile Tz
SpracheEnglish
BPM
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Musikvideo

Musikvideo

Songtexte

It's Fake Smile
Mastermind Music
Yeah
It's 00,18-7
Mr T 91 Admin
Sisi ndo Password, Sisi ndo Password, Sisi ndo Password, Sisi ndo Password, Sisi ndo Password, Sisi ndo Password, Sisi ndo Password, Sisi ndo Password
Wametu'dis, wametu'mind, wametusaka, wametukosa
Sisi ndo Password, Sisi ndo Password, wanatusaka, watoto wadogo wasichojuwa kila lock
Sisi ndo Password, Sisi ndo Password
Yeah
Kuchana nimeanza toka way back
I don't complain, we may pay back
Nikikaa kwenye beat true, I'm bad
Najamini kila siku fear of God
Kuwakalisha kila siku kwangu ndio jadi
Describe anymore, but I'm mad
Maisha yana'change happy and sad
Tuna husle kila siku, but we don't judge
Nishakula nauli,so napita shortcut
Chapu tunapanda chati, mishe nyigi harakati
Usinitch, ndo staki, zingatia itifaki
Na wakizingua jebu right, jebu amba cut
Unataka, hutaki, tit for tat
Chekesha umati, peke ako ubaki, hata sale hupati
Ushafika tamati, unatambia wapi, unazua taharuki
Kila beat nafungua mistari call me
Password, Password
Nasaka kibunda, niruke hewani
Sitaki kabisa, mapenzi kazini
Ukileta unafiki nakupiga chini
Mimi kama corona, wote karantini
Huu moto hatari, usiguse no
Nani kama sisi, nobody know
Tena tunahustle, you don't know
Alafu tunahate, umachino
Kama bado hutujuhi,start now
Wanawasha data, alafu betri low
Tuko kwenye kasi, hawatuboi
Fake Smile dream gang, bado hatupoi
Bado hatupoi
Nishapitia magumu,ndugu wakanilaumu
But sikuvuta ndumu, kila kona majukumu
Marafiki wakasema kwenye rap siwezi dumu
Ila bado napambana, nasukuma gurudumu
Namuamini Mungu, baba mpaka siku ya hukuma
Amenifanya napumua, ila kumbe wengine kawapa pumu
Ziwezi kuacha rap coz, ipo kwenye damu
Shida yangu, mi mtata nyie rapa
Mbwa koko,endeleeni, kubwata
Na wakini, Fata Fata, kinachoufata ni mbata
Maradufu wakafyata, wananita Mr. T
Nobody can do like me
This talent is only special for me
Minasali kila night, no light, no right
No one wanna give me support
Na pambania ubingwa, kila kona wanafiki
Nikiwa nao tunacheka, nikiondoka dustbin
Sisi ndo Password, Sisi ndo Password, Sisi ndo Password, Sisi ndo Password, Sisi ndo Password, Sisi ndo Password, Sisi ndo Password, Sisi ndo Password
Wametu'dis, wametu'mind, wametusaka, wametukosa
Sisi ndo Password, Sisi ndo Password, wanatusaka, watoto wadogo wasichojuwa kila lock
Sisi ndo Password, Sisi ndo Password
I'm a, Mr. Password from Fake Smile (Fake Smile)
Sisi ndo tunafanya, wapenda hip-hop, wanasmile
Wapinzani, tushawakimbiza, several miles
Nazifungua password, and this is my lifestyle
Alafu ujue, hawa rappers wabongo, wajikuta ni watu wamajesabu
Eti wazee, wa password ngumu, maswali yaso na majibu
Ukiwapiku kwa hili, watakuja na plan nyingine
Ila hapo wamebuma huu moto mwingine, si wana plan nyingi
Sasa sio, plani B tu
Wataenda mpaka plan Z, plan Z, Z, Z
Natena, tunapanda grade, tunazidi
Fungua password, this is dedicated to Haters of Untitled
Wana mistari ya ku'download
Na kiki za ku'upload, mafisadi hawalipi
Kodi wapigaji wa katika migodi
Kitu kimoja, ninacho shukuru, hatukosi riziki
Tunajikongoja, safari ni ndefu
Sio kwamba hatufiki watoto wa baba mmoja
Ambao, hip-hop imetuunganisha, Fake Smile namba moja
Iyo ipo wazi nani anayebisha
Kama hip-hop wana wa israeli Basi, Fake Smile ni Musa
Ukitaka kushirikiana nasi, kwetu hiyo ni ruksa
Ila ukijifanya, una mdomo sana, soon tutakuangusha
Mana tuna password isiyo na huruma, inayofunga mpaka fulsa
Mimi ni hatari, zaidi ya papa, ni sawa na msumeno
Uendao fasta, nikienda nakata, nikirudi nakata
Nishapita kote, yombo kalakata
Nikapita msata, nikapita mkata
Tukala na bata, now niko tabata
Hatujajipata, ila tunanata, engine ya tata yenye tungo tata
Sio tu kukutafuta nakusaka
Kama man city jikoroge, uanzishe mtiti,
Ufanyiwe fujo, varangati
Seguleni, juu ya bati
Kwa huu mwendo, hamnipati
Navyo'flow, juu ya beat
Best rapper,wa kizazi hiki
Leo hatucheki na kima, tumekuja kalisha
Hawa watu wazima
Ushindi kuupata lazima
Na kama unajihisi,unayaweza pima
Yeah
Untitled
Phantom
Thank you for watching
Written by: Fake Smile Tz
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...