album cover
album cover
Sifa wurde am 13. November 2026 von Essence House Entertainment als Teil des Albums Sifa - Single veröffentlicht
Veröffentlicht13. November 2026
LabelEssence House Entertainment
BPM97
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Songtexte

Hello
Beautiful people all over de world
Yeah, for real mehn you already know mehn, for real
Hear dis
It's Tuku Kantu with a beautiful message
Vic Twende
Kuna mahali
Kuna mahali mimi nimetoka na ni far (na ni far)
Zile baraka zimeniweka ni za Jah (ni za Jah)
Sifa ni zake baba
Niliacha shida za matatu
Nikapata shida za Mekanika
Yeah yeah yeah
Sifa ni zake baba
Nikaacha kuuliza kiatu
Nikaanza kupatia watu kazi
Yeah yeah yeah
Sifa ni zake baba
Hear dis, hear dis
Sahii mathe akiniitisha za chama, natuma
Bro akinishow amekwama, natuma (cha)
Sifa ni zake baba (Tuku Kantu)
Kuna mahali mimi nimetoka na ni far (kuna venye, kuna venye)
Zile baraka zimeniweka ni za Jah Jah Jah Jah
Ameni ja ja jaza (kuna venye, kuna venye, kuna venye, kuna venye)
Landlord tuliacha kudaiana (cha)
Kwanza ye ndio atanilipa nikihama (cha)
Bill zote nalipa in advance (cha)
Akili imetulia, sikasiriki sana (Tuku Kantu)
Na invest aki sahii na invest (cha)
Nikikosa salary nakulia interest (cha)
Sifa ni zake baba (kuna venye, kuna venye)
Kuna mahali mimi nimetoka na ni far (na ni far)
Zile baraka zimeniweka ni za Jah Jah Jah Jah
Ameni ja ja jaza (kuna venye, kuna venye, kuna venye, kuna venye)
Nimemaliza loan
Madeni zote gone (cha)
Nishaekelea shamba
Napanga kujenga home (cha)
Sifa ni zake baba (Tuku Kantu)
Oh yeah yeah yeah yeah (Tuku Kantu)
Na kama hii ndo genesis
Mwisho kutakuwaje (cha)
Shetani ndio nemesis
Ashindwe kabisa (cha)
Sifa ni zake baba (Tuku Kantu)
(kuna venye, kuna venye)
Kuna mahali mimi nimetoka na ni far (kuna venye, kuna venye)
Zile baraka zimeniweka ni za Jah Jah Jah Jah
Ameni ja ja jaza
For real, you already know mehn
(kuna venye, kuna venye, kuna venye, kuna venye)
Kuna venye vitu znaendaga
Mara Scade skuhizi ni Surbaban
Muna munacheza na kijana ya Oganga
Nikiwashow ni mita mtasema niko jaba
Najiskizia mixture ya foreigno na kidurban
Na denge wangu mixture ya foreigno na mkamba
Hii ni kama fixture za Mourinho akiwapanga
Usinipatie sifa sio zangu ni za Jah Jah Jah Jah Jah
Arif usibabaike Mungu yuko juu
Ni kama price yangu vile skuizi iko juu
Ehe, pandisha mwere pressure juu
Na siwezi rudi nyuma ju
Kuna mahali mimi nimetoka na ni far
Zile baraka zimeniweka ni za Jah Jah Jah Jah
Ameni ja ja jaza
Na na na nan
Na na na nan
Na na na nan
Na na na na na na na na
Ameni ja ja jaza
Written by: Churchill Oganga, Philip Munyao Mutuku

Loading...