Musikvideo

Vorgestellt in

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bahati Bukuku
Bahati Bukuku
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bahati Bukuku
Bahati Bukuku
Songwriter

Songtexte

Ndoto ya Yusufu alipowaambia ndugu zake Maono ya Yusufu alipowaambia ndugu zake Kwamba ameona wakimwabudu, wakimsujudia Kwamba ameona wakimwabudu, na kumsujudia Ndoto ya Yusufu ndicho kilikuwa chanzo Ndoto ya Yusufu kilikuwa ni chanzo cha vita yake Mbeba maono hafi, inuka Bwana ana kusudi nawe Mbeba maono hafi, inuka Bwana ana kusudi nawe Mbeba maono hafi, ni lazima yatimie Mbeba maono hafi, ni lazima yaonekane Mbeba maono hafi, ni lazima yatimie Mbeba maono hafi, ni lazima yaonekane Shetani ameota ndoto ya kwamba umeshindwa Mbinguni malaika wanashangilia ya kwamba umeshinda Maana mbeba maono hafi, inuka Bwana ana kusudi nawe Maana mbeba maono hafi, inuka Mungu ana kusudi nawe Yale maono yako juu ya familia yako Yale maono yako juu ya kuinua kazi ya Mungu Maono yako yako hafi Amechukuwa nani Maana mbeba maono hafi, inuka Mungu ana kusudi nawe Maana mbeba maono hafi, inuka Mungu ana mpango nawewe Mbeba maono hafi, ni lazima yatimie Mbeba maono hafi, ni lazima yaonekane Mbeba maono hafi, ni lazima yatimie Mbeba maono hafi, ni lazima yaonekane Ndoto ya Yusufu kweli ilichelewa Akatupwa gerezani, ndoto ilichelewa Lakini mwisho wa siku ndoto ilitima Wale walio mwuuza utumwani ndio walio wamwangukia tena Yawezekana na wewe leo ndoto imechelewa Hao wanaokudharau leo ndio watakao kuheshimu Umebeba maono gani juu ya maisha yako Yawezeka kuna watu wamekukatisha tamaa Yawezeka kuna wengine wamekuvunja moyo Maana mbeba maono hafi, inuka Mungu ana kusudi nawe Mbeba maono hafi, ni lazima yatimie Mbeba maono hafi, ni lazima yaonekane Mbeba maono hafi, ni lazima yatimie Mbeba maono hafi, ni lazima yaonekane Mbeba maono hafi, ni lazima yatimie Mbeba maono hafi, ni lazima yaonekane
Writer(s): Bahati Bukuku Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out