Songtexte

Huyu anae kuja sasa ajiunge nasi Ni malikiya wa muziki Tanzania na Afican Si wengine bali ni Rose Muhando Facebook facebook, Twitter amekuwa Mungu wa kanisa la leo Facebook Facebook Twitter amekuwa akimu wa kanina la leo Facebook facebook twitter amekuwa mfalme wa ulimwengu wa lelo Facebook facebook twitter ni kijaa kamili kwa kizazi tcha leo Eh eh-h-h-h-h-h, eh-h-h Yo yo yo jamani Eh iye ye yi uzuni, oh oh uh oh machozi Kuna balaa kubwa nililoliona mimi chini ya jua Kuna balaa kubwa nililoliona chini ya jua Kuna balaa jipia limeshuka jamani chini ya jua Eti, facebook wamekuwa Mungu kwa kanisa la leo,ni ajabu sana Twitter amekuwa akimu kwa kanisa la leo ni ajabu sana Ajabu sana, ajabu sana, ajabu sana, ajabu sana Angalia sasa wewe mwana, kanisa lako li katika hali mbaya Watu wako wamekuwa mateka hawajui pa kwenda ni kama upepo Wakiristo wamekuwa wajinga hawajui nyakati za kujiliwa kwao Wachungaji wamekosa ekima kutowa maamzi ya matatizo yao Eti Facebook facebook, Twitter amekuwa Mungu kwa kanisa la leo Facebook Facebook Twitter amekuwa akimu wa matatizo yao Facebook facebook twitter amekuwa Mungu kwa kanisa la leo Hivi nani aliyewaloga? (ni utanda wasi) Aibu? (ni utanda wasi) Nasema nani aliyewaloga? (ni utanda wasi) Amani (utanda wasi) Wameacha majukumu (eti, wanachat) Jamani (eti wanachat) Wameacha kumtafuta Mungu, (kisha wanachat) Ahibu, (eti wanachat) Wana sahau kufanya maombi (kisha wachat) Jamani (eti wanachat) Hakika wana tiya ayibu (eti wanachat) Nasema (eti wanachat) Wame acha kumtafuta Mungu (kisha wanachat) Jamani (eti wana chat) Wana jiacha kwenye mitandao (kisha wanachat) Ayibu (eti wanachat) Wasitchana wame aribika (eti wanachat) Jamani (eti wanachat) Wanatchelewa kwenye masomo (kisha wanachat) Ayibu (eti wanachat) Wanafunzi wame fail mitihani (kisha wanachat) Jamani (eti wanachat) Wanafunzi wana fail mitihani (eti wanachat) Ayibu (eti wanachat) Wafanya kazi watchelewa kazini (kisha wanachat) Jamani (eti wanachat) Wadereva wana sababisha ajali (kisha wanachat) Jamani (eti wanachat) Ascari ame sababisha ajali (eti wanachat) Jamani (eti wanachat) Oh oh (kisha wanachat) Jamani (eti wanachat) Eh eh (kisha wanchat) Jamani (eti wanachat) Ona ndoa nyingi zimesha vunjika (eti wanachat) Jamani (eti wanachat) Wengine wana zua zua (kisha wanachat) Jamani (eti wanachat) Mwengine ame tchelewa kazini (kisha wanachat) Jamani (eti wanachat) Eh eh (eti wanachat) Jamani (eti wanachat) Africa wame kosa ayibu (kisha wanachat) Jamani (eti wanachat) Wana sahau kufanya maombi (kisha wanachat) Tazama (eti wanachat) Wana jiachakwenye mitatandao (eti mwanachat) Jamani (eti wanachat) Ndoa nyingi sasa zimesha vunjika (kisha wanchat) Ayibu (eti wanachat) Wana jiachakwenye mitatandao (kisha mwanachat) Jamani (eti wanachat) Mwengi ametchelewa mungeni (eti wanachat) Jamani (eti wanachat) Wana angaika kutowa odja (kisha wanachat) Ayibu (eti wanachat) Wana sinziya wakiwa mgeni (kisha wanachat) Jamani (eti wanachat) Nasema (kisha wanachat) Ayibu Madakitari wame sababisha vifo (eti wanachat) Jamani (eti wanachat) Wajinga hawa somi neno (kisha wanachat) Mwezangu (eti wanachat) Wana sahahu kufanya maombi (kisha wanachat) Nasema (eti wanchat) Eh-h-h (kisha wanachat) Jamani (eti wanachat) Facebook facebook, Twitter amekuwa Mungu wa kanisa la leo Facebook Facebook Twitter amekuwa akimu wa kanina la leo Facebook facebook twitter amekuwa mfalme wa ulimwengu wa lelo Facebook facebook twitter ni kijaa kamili kwa kizazi tcha leo Wanadamu wamechanganikiwa hawa juiwi mpa kwenda ni kama upepo Wame kuwa niwendawazimu vichawi wame logua na utandawazi Wana ndoa wame changanyikiwa wana andika ayibu ya mambo yaho ya ndani Kweli Facebook facebook, Twitter amekuwa Mungu wa kanisa la leo Kumbe Facebook facebook, Twitter amekuwa ayibu ya matatizo yaho Hivi nani aliyewaloga? (ni utanda wasi) Aibu? (ni utanda wasi) Nasema nani aliyewaloga? (ni utanda wasi) Amani? (utanda wasi) Ata wale wameacha majukumu (eti wanachat) Facebook facebook, Twitter amekuwa Mungu wa kanisa la leo Facebook Facebook Twitter amekuwa akimu wa kanina la leo Facebook facebook twitter amekuwa mfalme wa ulimwengu wa lelo Facebook facebook twitter ni kijaa kamili kwa kizazi tcha leo Wasa wasa (don't com) wasa Wasa wasa (kizazi tcha nyoka don't com) wasa (eti kizazi tcha don't com) Wasa wasa wasa Wasa wasa wasa
Writer(s): Rose Muhando Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out