Στίχοι

Mtoto, mtoto mdogo (Sol Generation) Mtoto, mtoto mdogo Amevaa ngolopa, mangolopa Amevaa ngolopa (Original ting, ahh) Hear dis! Lucy, I love you Lakini kama tuko wengi Tusilazimishe, tusilazimishe penzi Lucy, I love you Lakini kama tuko wengi Don't force it, don't force it Lucy, ah, hizo ni nini nasikia Ati kuna maboy wanajaribu kukukatia Na pia, kuna vile unawavutia Ulikuja na mimi wanataka kunigeuzia Lucy, ah, is there another man in your life? Girl, come tell me stop wasting my time Ukitaka penzi ni lazima udecide Ukitaka kwangu ni lazima uwe mine Lucy, ah, kalongo longo yako ya uongo Unacheki wengi ama tukuite chongo Msichana mrembo unanichanganya ubongo, wee (Shugaa) Lucy, I love you Lakini kama tuko wengi Tusilazimishe, tusilazimishe penzi Lucy, I love you Lakini kama tuko wengi Don't force it, don't force it Niko na mipango (Eeh) Kama una zako wewe ziweke kando (Hmm) Ju kila kitu nime order, double Nikipewa yangu, unapewa yako (Ookay) Wewe ndo mpango Mashida zako zote weka kando (Eeh) Usijali baby mimi nitakuhandle Mimi kijana noma toka Eastlando (Ookay) Usininyime samosa Ukitaka sose, nitakupa mpaka saucer Kwani kukupenda mi najua si makosa Na nikikupenda mi najua sijakosa Baby love, usininyime samosa Ukitaka sose, nitakupa mpaka saucer Kwani kukupenda mi najua si makosa Na nikikupenda mi najua sija (Aha!) Lucy, I love you Lakini kama tuko wengi Tusilazimishe, tusilazimishe penzi Lucy, I love you Lakini kama tuko wengi Don't force it, don't force it Ati mtoto, mtoto mdogo Mtoto, mtoto mdogo Amevaa ngolopa, mangolopa Amevaa ngolopa, mangolopa Mtoto, mtoto mdogo Mtoto, mtoto mdogo Amevaa ngolopa, mangolopa Amevaa ngolopa (Aha!) Lucy, I love you And I need your love But don't force it I love you... Lakini kama tuko wengi (Ram-dadam-dam-dum) (Eh-eh-eeh-eh-eh) Lucy, I love you Lakini kama tuko, aha Don't force it, don't force it (Eh-eh-eeh-eh-eh, burudika, burudika, naburudika kidogo) (Eh-eh-eeh-eh-eh) Ooh-ooh-ooh-ooh Mtoto, mtoto mdogo Mtoto, mtoto mdogo Amevaa ngolopa, mangolopa Amevaa ngolopa, mangolopa
Writer(s): Benson Mutua Muia Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out