Μουσικό βίντεο

KIDUM - MAPENZI
Δείτε το μουσικό βίντεο του {trackName} από {artistName}

Περιλαμβάνεται σε

Συντελεστές

PERFORMING ARTISTS
Kidum Kibido
Kidum Kibido
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kidum
Kidum
Composer
Jean-Pierre Nimbona
Jean-Pierre Nimbona
Songwriter

Στίχοι

Uh uh uuh uuh, eeh Mapenzi yo yo yo Kama ni mapenzi Ya kuniudhi kila saa Ya kunifanya mi kulia Na kama huridhiki Na mbona hujasema Ili niweze rekebisha Nilidhani mambo shwari Nikiamini u kwangu Na kukusifu kwa wazazi Hujali tena hisia zangu Sijui tunapokwenda Lakini najua tulipotoka Kutoka sitoki nimetekwa nyara Kukuwacha siwezi kibarua ngumu Nashindwa ni nini nitafanya uridhike Nimetekwa ndani Mtandao wa mapenzi Basi nakuomba Uniteke tu bila mateso Nimezama, nimezama Ndani ya bahari, la penzi lako Siwezi, kusonga mbele Kurudi nyuma, sielewi Haya mapenzi ya fujo hayafai Kama unanipenda Jaribu kunipa raha Mi nashangaa Watu wakisema Eti tunapendana Japo tunazozana Ni vizuri mamii Nyumba kuwa na siri Lakini jaribu, tusuluhishe Bila hivyo Itakuwa mchezo, wa kuigiza Kwenye mambo bandia Mimi sitaki Mambo ya kujifanya Eti tunapendana Tena tunatesana, uuuh Nimejaribu sana kujitoa ndani (aah aah) Kila nikipanga napangua mwenyewe (aah aah) Natamani sana ungeelewa hivyo Mimi mateka Mimi pumbavu Wa penzi lako Nieleze ni lini ntakuwa huru Tazama, nimezama (tazama yooh) Ndani ya bahari, la penzi lako Siwezi, kusonga mbele Kurudi nyuma, sielewi Haya mapenzi ya fujo hayafai Kama unanipenda Jaribu kunipa raha Jaribu baby, uuh woo Mambo, ya kunifanya kumbafu haifai Mambo yo yo yo yo yo yo yo Haifai Jaribu baby Tusuluhishe
Writer(s): Nimbona ''kidum'' Jean-pierre Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out