αναπαραγωγή πλήρους τραγουδιού
Παρόμοια τραγούδια
Συντελεστές
PERFORMING ARTISTS
Sara Nyongole
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Sara Nyongole
Songwriter
Walter Chilambo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Walter Chilambo
Producer
Στίχοι
Hakunaga jipya chini ya Jua-aah
Usilolitambua na kulijua-aah
Hata vya sirini wavijua-aah
Vilivyo ndani ya vilindi vya moyo
Unavijua
Siwezi kuficha chochote
Maana moyo wangu kwako
Umejifunua
Siwezi kuongopa lolote
Kwa maana moyo wangu
Umejifunua-aah
Kwangu nina sababu (oh-oh-ooh)
Kukubali ni Mungu (kubali kubali ni Mungu)
Kwangu nina sababu (oh-oh-ooh)
Kukubali ni Mungu ooh-oh
(Yeah hee hee) Wewe ni Mungu
(Oh wewe ni Mungu, wewe ni Mungu)
Muumba nchi na mbingu
(Hakuna kama wewe Bwana wangu)
Wewe ni Mungu
(Wewe ni Mungu)
Muumba nchi na mbingu
Hmmm, oh-ooh
Kwa moyo wangu
Wote nimekutafuta
Usiniache nipotee
Mbali na maagizo yako
Moyoni mwangu
Nimeliweka neno lako
Nisije nikakutenda
Dhambi Mungu
Nafsi yangu (yangu)
Imeambatana na mavumbi
Unihuishe
Sawasawa na neno lako
Nafsi yangu
Imeambatana na mavumbi eh
Unihuishe
Sawasawa na neno lako
Maana wewe ni Mungu
Wewe ni Mungu
(Hakika, unastahili sifa)
Muumba nchi na mbingu
(Wewe ni baba hey yeah)
Wewe ni Mungu
(Unaetenda maajabu)
Muumba nchi na mbingu (oh yeah eh yeah)
Sita aibika (aibita sita aibika)
Sita tetereka
Sita pungukiwa
Sita kuacha we
Hmm sita aibika
Sita tetereka oh
Sita pungukiwa no no no no no no no
Sita kuacha we
(Ooohh oh, ooh-oh)
Wewe ni Mungu
(Wewe ni Mungu wetu)
Muumba nchi na mbingu
(Hubadiliki wewe utabaki yuleyule)
Wewe ni Mungu
(Wewe ni Mungu wa wote wenye mwili)
Muumba nchi na mbingu hee!
(Wewe ni Mungu wetu)
Wewe ni Mungu
(Tunakuita we ni Mungu)
Muumba nchi na mbingu
(Wewe ni Mungu wewe)
Wewe ni Mungu
(Hakuna kama wewe Baba yea)
Muumba nchi na mbingu
(Wewe)
Writer(s): Walter Godfrey Chilambo
Lyrics powered by www.musixmatch.com