Στίχοι

Mhhh haa hehehee Haaaaa haaa Kila siku huwa unaniniuliza moja swalii ivi lini itakuja kuwa vizurii Maana kila siku ahadii alafu azitimii Kukuforce we kupanda kwenye bajajii Wakati level zako we ni Lamborghini Nakushushaga hadhi nauzuri wako huendani Kaa ukijua kama riziki si mimi ni molaa Uenda kesho atanipatiaa Japo kidogo kunigawiaa Nachojua kofuli hutumikaga wakati mvuaa Ikinyeesha twafunikia pendo letu lisijekuloa Aminii mama kutesa siwezi aaha Nasitoridhia wengine kupanda ngazi aaaha Aminii mama kutesa siwezi aaha Nasitoridhia wengine kupanda ngazi aaaha Mmh Aaaha Aaaha Subira rafiki yake matumaini Ukichanganya na salaa Sivema kujilaumu kuwa na mimi Eti kwasababu fukaraa Natena we ndo nyongo kalia inii Usinimwage kabwelaa Penzi langu limeota mizizii chinii Kungwooka haiwezi tena Kaa ukijua kama riziki si mimi ni molaa Uenda kesho atanipatiaa Japo kidogo kunigawiaa Nachojua kofuli hutumikaga wakati mvuaa Ikinyeesha twafunikia pendo letu lisijekuloaa Aminii mama kutesa siwezi aaha Nasitoridhia wengine kupanda ngazi aaaha Aminii mama kutesa siwezi aaha Nasitoridhia wengine kupanda ngazi aaaha Kipato changu kwako hakikizi mahitaji Ahe nami niko razi nidundulize kwako Nivilete vichenchii ahee Ipo siku ntakuvisha shela Me na wewe twawagee ubachela Nikupeleke kwa mkubwa fela ahee Ipo siku moja ntakuvisha shela Wewe na me wewe twawagee ubachela Nikupeleke kwetu ifakara ahee
Writer(s): Bakari Katuti, Beka Flavour Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out