Στίχοι

Hatimaye ni leo Ni siku yetu Siku yetu muhimu Harusi yetu Uwepo wenu nyote eh eh Kwetu ni kitu Kwetu ninyi ni ndugu Leo na kesho Harusi maua, ng'aring'ari wanapendeza Leo ni furaha shangwe na furaha Harusi mauwa, tabasamu suti na shera Wacha tufurahi sote tufurahi Sweetie sweetie sweetie (Haikuwa rahisi) Eh sweetie (Tufike) My baby (leo hii) Nahapa tulipo (Ndio siku yetu) Ipo (Muhimu ya Harusi) Sweetie sweetie baby (Haikuwa rahisi) Eh sweetie (Tufike) My love (leo hii) Nahapa tulipo (Ndio siku yetu) Ipo (Muhimu ya Harusi) Sasa nyumba moja, mwili mmoja, kila kitu ni moja tuwe pamoja Upendo naongeza nawe ongeza Heshima na pandisha, tuwe pamoja Sweetie sweetie sweetie (Haikuwa rahisi) Eh sweetie (Tufike) My baby (leo hii) Sasa wewe ni mimi, mimi ni wewe We ndo mwandani wangu rafiki yangu Sasa wewe ni mimi, mimi ni wewe We ndo mwandani wangu rafiki yangu Na wazazi wameona wakaturuhusu Kwa furaha wakasema eh "Tumewabariki" Na Mwenyezi Mahulana atatubariki Tukazae na tulee eh Watoto wazuri Sweetie sweetie sweetie (Haikuwa rahisi) Eh sweetie (Tufike) My baby (leo hii) Nahapa tulipo (Ndio siku yetu) Ipo (Muhimu ya Harusi) Sweetie sweetie baby (Haikuwa rahisi) Eh sweetie (Tufike) My love (leo hii) Nahapa tulipo (Ndio siku yetu) Ipo (Muhimu ya Harusi) Sasa nyumba moja, mwili mmoja, kila kitu ni moja tuwe pamoja Upendo naongeza nawe ongeza Heshima na pandisha, tuwe pamoja Sweetie sweetie sweetie (Haikuwa rahisi) Eh sweetie (Tufike) My baby (leo hii) Yandoa mengi mengi tupande nayo Sweetie nitakuheshimu, uniheshimu Mahaba motomoto yawe ni wimbo Kwetu yawe waridi yakanukie Walikuepo, walitamani, nao wakafunga harusi Wakaparangana haikuwezekana Kama si nyinyi tusingefika hapa na ku furahi hivi Na leo ni leo mambo sasa ni mambo Sweetie sweetie sweetie (Haikuwa rahisi) Eh sweetie (Tufike) My baby (leo hii) Nahapa tulipo (Ndio siku yetu) Ipo (Muhimu ya Harusi) Sweetie sweetie baby (Haikuwa rahisi) Eh sweetie (Tufike) My love (leo hii) Nahapa tulipo (Ndio siku yetu) Ipo (Muhimu ya Harusi) Sasa nyumba moja, mwili mmoja, kila kitu ni moja tuwe pamoja Upendo naongeza nawe ongeza Heshima na pandisha, tuwe pamoja Na tutakumbushana kukaa na Mungu Familia ya Mungu hujaa upendo Wema kwa ndugu wote wa pande zote Tutapendwa na wote hata na Mungu
Writer(s): Maureen Nkirote Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out