Στίχοι

Kimambo on the beats Kiherehere kimeniisha Eeh nimekuwa simulizi kwa penzi lako Waninanga wee Zaidi yanisikitisha Eti nimekuwa chuma cha kafuro Nipo juu ya mawe Jikoni kwangu kaingia mdudu gani? Mara kwenye kikombe mara sahani Ona katibua maji kisimani Oooh salala Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua Masala Nimezidisha chenji kimeota nyasi Mbaghala Nilipita dirisha nafasi kuigombania Ah baba Kumbe basi limejaa na mlango upo Haioni mboni yangu (Kiza kinene) Kibatari utambi umetumbukia (Kiza kinene) Yaila ghidira yangu (Kiza kinene) Nimepekechwa nguzo niliyoegemea (Kiza kinene) Ah... aah I've been trying not to diss you Mwenzako mimi nilikuwa sina issue mpenzi Hope uko sawa, my darling And I've been trying not to miss you Ila unapoenda kutwa yangu maumivu We yangu dawa, ooooh ooh Chumbani kwangu kaingia kunguni gani? Mara kwenye kitanda mara kwa shati Aii, haya ni maruani Yanafanya nakosa amani Oooh salala Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua Masala Tushazamisha meli yameisha Mabega Nitaambia nini waingo mukhana tire na Ingababwa Nina mafeelings ingawa sijiwezi Hayaoni macho yangu (Kiza kinene) Koroboi utambi umetumbukia (Kiza kinene) Yaila ghidira yangu (Kiza kinene) It never gonna be the same No No No No oooh (Kiza kinene)
Writer(s): Faustina Mfinanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out