Μουσικό βίντεο

Lava Lava Ft Harmonize - Saula (Official VIdeo) Sms SKIZA 8546826 to 811
Δείτε το μουσικό βίντεο του {trackName} από {artistName}

Συντελεστές

PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Bōnga
Bōnga
Producer
Lizer Classic
Lizer Classic
Mixing Engineer

Στίχοι

Ai... Aya ahee Kondeboy Mwenzako jicho chongo kwa mwingine sioni tena Umenipa magongo nitembee niache kuchechema Tujiepushe na waongo hawakosagi cha kusema Ulinzi nguzo chuma dongo, penzi tuezeke na mahema Penzi langu la kizigua nakupa taratibu (ah eh) Na miuno nainengua washikwe na aibu Nadhani hawajajua ee ndio unaniharibu (ah eh) Na mwaka huu mbona wataugua, wakose wakuwatibu We eti nipe mambo ya pwani, eti mwenzako na nenge Kanga moja begani uno, ulifunge tenge (weh!) Mguu bara mguu pwani kama unaruka senyenge We nibinyie kwa ndani nitoke malenge lenge (Saula) Mambo uyaweke hadharani (Saula) Kwani unamwogopa nani (Saula) Uyaweke hadharani (Mwali saula) Eh kwani unamwogopa nani (Saula) Kondeboy! Kama karata umelamba dume wengine galasa bado (saula) Tikitaka kinyume nyume mashuti kama Ronaldo (saula) Kaona jiti kasaula kajitupa kwa kiwanja Kibichi bichi ka Paula wa Kajala Masanja eh, eh eh eh! We nipe nisivyopewa hadi nihisi raha ya Dunia Nigande mwenye ngekewa mafisi wakininunia Nipost usiogope, sa unifiche Mobeto (ah eh eh) Tena mashost na waropokwe tujichimbie mageto (ah eh eh) We eti nipe mambo ya pwani, eti mwenzako na nenge Kanga moja begani uno, ulifunge tenge (weh!) Siku ya kufa nyani, kinyozi kakosa wembe Kule Mtwara nyumbani tunaitaga singenge (Saula) Mambo uyaweke hadharani (Saula) Kwani unamwogopa nani (Saula) Uyaweke hadharani (Mwali saula) Eh kwani unamwogopa nani (Saula) Laizer on the mix Ah kibinda (ah kibinda koi e), eh (kibindakoi) Fanya kujipindapinda (ah kibinda koi e), eh (kibindakoi) Cheza ukiringa ringa (ah kibinda koi e), eh (kibondakoi) Zungusha nyonga madoido (ah kibinda koi e), kakupa mama (kibindakoi) Uno la Kofi Olomide (ah kibinda koi e), pingua bandama (kibindakoi) Hi hi hi hi It's Lava again Ah kondeboy
Writer(s): Rajabu Ibrahim, Rajabu Salehe, Isabdul Idd Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out