Στίχοι

Happy birthday wewe (eee) Tukate maji Leo Unywe mpaka ulewe ( Ni siku yako leo Happy birthday wewe (eee) Tukate maji Leo Unywe mpaka ulewe (eee) Ni siku yako leo Siku ya kuzaliwa ni majaliwa Unataka tei ama tumwage maziwa Achilia njiwa na tei utamwagiwa Nina roho safi mienendo zangu pure Usijifanye savage keki utatiwa Dishi Iko few so joh mkuje fewer Liwe liwalo miti joh huwanga cure Mida ya saa sita shourty analipuliwa Na niko guage niko zangalewa Leo ni bash kila mtu pewa Kila mtu Ko mikono juu hewa Juu ya track marathon mbuzi tumelewa Happy birthday wewe (eee) Tukate maji Leo Unywe mpaka ulewe (eee) Ni siku yako leo Happy birthday wewe (eee) Tukate maji Leo Unywe mpaka ulewe (eee) Ni siku yako leo Kama unamaji mwagia Kama unapombe mwagia Kama unasoda mwagia Mwagia mwagia Mwagia mwagia Mwagia mwagia Kama unamaji mwagia Kama unapombe mwagia Kama unasoda mwagia Mwagia mwagia Mwagia mwagia Mwagia mwagia Paro alipenda wreso sana ye kuenda raw nikazaliwa Kwetu kuna kabaridi sana staki maji leo kumwagiwa Looku white, njiwa Hadi kuku patiwa Msupa amekam kwa bash tu kukatiwa Hata ka hawanijui Pale status nasifiwa Mizinga ikikatika Ni Ikupate zimeshika Aya sa skiza, skiza Uskule food ka unajua utatapika Sasa sa skiza, skiza Uskuje bash ka kuromboseana shida Happy birthday wewe (eee) Tukate maji Leo Unywe mpaka ulewe (eee) Ni siku yako leo Happy birthday wewe (eee) Tukate maji Leo Unywe mpaka ulewe (eee) Ni siku yako leo Kama unamaji mwagia Kama unapombe mwagia Kama unasoda mwagia Mwagia mwagia Mwagia mwagia Mwagia mwagia Kama unamaji mwagia Kama unapombe mwagia Kama unasoda mwagia Mwagia mwagia Mwagia mwagia Mwagia mwagia Wote kwa hii party wazee tulizaliwa Sindio Ok mi nataka kuskia Hehehe lets go January February Marchi April Piga nduru maze May June July August Wapi nduru maze September October November December Nduru maze, wapi nduru maze Siwaskii wapi nduru maze Kama unamaji mwagia Kama unapombe mwagia Kama unasoda mwagia Mwagia mwagia Mwagia mwagia Mwagia mwagia Kama unamaji mwagia Kama unapombe mwagia Kama unasoda mwagia Mwagia mwagia Mwagia mwagia Mwagia mwagia Alright then siku yako ya kuzaliwa Kila mtu apatiwe miwa Kuna party hadi kwa njia Shika msupa we mwagia One time it's your birthday Cheza nami Gyal kwenye party Tunarepresent full hundred From monday mpaka sunday Make up imewaka ka dress kamefit Figure number nane physically fit Wallet imebeba dollar na shillings Kwenye neck tumepiga bling bling Happy birthday wewe (eee) Tukate maji Leo Unywe mpaka ulewe (eee) Ni siku yako leo Happy birthday wewe (eee) Tukate maji Leo Unywe mpaka ulewe (eee) Ni siku yako leo
Writer(s): Joseph Getugi Nyamweya, Peter Ochieng Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out