Στίχοι

We muushizoo utawauwaa 26 kipaajiii Hakuna shujaa pasipo na maaduii Minishujaa nasakwa na maaduii Hii vita ni nugumu napigana na watu Ambao hauwaonii wala hauwajui Mi ni mti wenye matunda Ndio maana sichoki Kila siku wananipiga mawe Niko imara sianguki niko na yumba yumba tu Matunda Yakianguka kesho yataota mengine Kama ipo ipo kanipa Mungu uu Kazi bure huwezi ziba riziki yangu Eti unanichukia kisa kipaji changuu Kazana kuniloga tu mi namuomba Mungu We kunguru mi mwewe sa utaweza wapi Shindana na mimi weweeee Unakazana kutenegeza mazingira Mi nishuke kimziki ili upande weweeee Ohh binadamu ata ukishi nao vizuri Watatafuta sababu tuu Ohh binadamu ata ukiwafanyia mema Lakini Bado utasemwa tuu Kweli Napambana usiku na mchanaa Silali natafuta ili nile na ndugu zanguu Najua kama na baba mama familiaa yanguu Inanitegemea nalijuaa jukumu languu Nashangaa wananichukia sijui kwanini ohh Wananisema sijui nimefanya nini mi Kwani kosa langu nini kwa nini mimi ohh Mdomoni mwao kutwa jina langu mimi Maneno ya uongo wanaongeaaa Uhakika hawana alafu wanajiaminii Figisu figisu wananifanyiaa Huruma hawana nia yao kunishusha mimi Mi najikongoja tu kidume mimii Waache waniloge najua mungu yuko namii Ila hakuna kama 26 kipajii Wanasubiri wavune wakati mi ndio mlimajii Napenda sana ushauri sijifanyi mjuajii Leo God ka bless namiliki bajajii Haya sasa woote tusemee suuu Suuzikeni na roho zenu balaa sina makuu Hata mkinuna hiyo shauri yenu tuu Mniloge mnipige ndumba tu yoote mipango ya mungu Nashangaa wananichukia sijui kwanini ohh Wananisema sijui nimefanya nini mi Kwani kosa langu nini kwa nini mimi ohh Mdomoni mwao kutwa jina langu mimi Maneno ya uongo wanaongeaaa Uhakika hawana alafu wanajiaminii Figisu figisu wananifanyiaa Huruma hawana nia yao kunishusha mimi Mi najikongoja tu kidume mimii Waache waniloge najua mungu yuko namii Jmani mushizoo ahaa utawauwaa Lyrics by Chamazi Musi
Writer(s): Balaa Mc Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out