Στίχοι

(Tongwe records... please) (Bin Laden) Saa sita ya mchana jua la utosi Chuo bumu limetema nimekaa kibosi hata presha ya msosi sina "Somebody is calling" oh kumbe Lissa Nimem-save, "Love of my life" Nikaweka na loudspeaker nikamsikia anaongea ka' analia Nikamuuliza, "Are you okay Monalisa" Akaniambia, "Baby siko sawa kabisa, nadaiwa ada Na jumatatu ndio tunaanza paper yanii Na nisipolipa siruhusiwi kufanya mitihani Laki tano nzima ntaitowa wapi honey?" "Oh don't you worry nali-fix boo" Kwa kuwa nishadaka hela ya bumu nikalibeba hilo jukumu Nikamwambia, "Basi nakutumia usikate simu kwanza love ili uniambie ikiingia Mh, baby mbona hii number inajina la kiume?" Akaniambia, "Hiyo laini kaka yangu alinisajilia" "Laki tano kwenda kwa Lisaa bonyeza moja kuthibitisha mbili kubatilisha" Mi nikathibitisha Laki tano na elfu tano na makato ya kutoa Kwenye account yake pale pale ikathibitisha She was like, "Thanks baby nimeiona jioni jua likipoa nitakuja kwako kukuona And for real nimekumisi kinoma" Nikamwambia, "Nitafurahi sana kama nitakuona" "Ok" Saa kumi na moja mtoto hajatimba! "Labda ndio anatoka home acha nivunge midamida anafika" Saa moja kamili mtoto hajatimba! Nikasema, "Huenda foleni kubwa ila punde tu atafika" Saa tatu usiku mtoto ajatimba giza limetinga Nishampigia sana simu hapokei text zinadunda Nkawaza mpaka usingizi ukanichukua Siku ya pili, simu hapokei text hajafungua Siku ya tatu kimya nikasanuka nimcheki best yake Huwezi amini nilijuta kumpigia Nikamwambia, "Hey shem' you good" "I'm good" Siku ya tatu best yako kanilia buyu Now days Lissa mbona anama-drama huyu Akaniambia, "Shem' kama unakifua ntakwambia Ah kweli lisa ame-change anabwana mpya msanii huyo ndio anam-drivecrazy Juzi si ulituma hela ya ada alipokulilia, hiyo ela kampa bwana wake akatumie" Dah, maumivu huwa makali ukimpa kitu mtu umpendae akampatia ampendae zaidi Magoti yaliniisha nguvu chozi chini, mbupu ndichi Roho iliniuma sikufichi Dah nikaondoka home kwa hasira nimfate Lissa Kwani jealous inanitesa na kila nikimuwaza naona kama dereva anautani na mimi Daladala niliona inaenda taratibu nilitamani nikaiendeshe mimi Nikafika mpaka kwa Lissa ile naukaribia mlango Naskia mziki ila kunasauti naona kama sizielewi Nikaona siwezi gonga mlango, nikapita nao na teke mpaka ndani Nilichokiona sitosahau maishani Kidume kinamkazia kitanda ndani Ye bize analia machozi hayatoki anaifinyia ndani Hata wa kushtuka wamuhofie nani!? Jamaa akapiga tako nane akamwagia ndani Nilipata kizunguzungu nusu nianguke Sikuweza kuamini, "Lissa mbona umenitenda hivi nimekukosea nini? Si ungeniambia tuachane ningekuacha huru Mwisho wa siku ningepona, sasa haya yote ya nini?" Lissa akanibadilikia sura mpaka sauti akani-change-a Akaanza kunitimua huku na matusi ananishushia Ye na bwana wake wakaanza nipush mpaka nje Akanipigia kelele, "Mwizi" watu wakanijazia Watu wakanijali wameshika mawe na marungu Wakanipiga kama mwizi huo mtaa sina ndugu Jamani tunaua hatu-ui (tunaua) Shehe tuache tushammaliza (hapana sheria hairuhusu) Tena mimi mama nimesahau nini nnapresha mtanilimia, mtanilimia presha Hakuna wa kunitetea, wakanivika tairi ya gari Wakawasha moto fasta nikaanza teketea Na maumivu ya moto ndio haya Walioniunguza moyo wameuteketeza mwili vibaya Sekunde chache za kuivuta pumzi ya Dunia nzuri Iliojaa binadamu wengi wabaya Sawa Lissa nakuacha ufurahi Mapenzi niliokuonyesha umeamua kunitoa uhai Ahadi tulizoweka zimezimwa na tamaa zako Mi nnakwenda karma itakulipa bye-bye uh (Bin Laden)
Writer(s): Cosmas Paul, Charles Makoye Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out