Στίχοι

Si leo ni sikukuu, tufanye vitu kuu Boo boo baby Si leo ni sikukuu, tufanye vitu kuu (Pozze) Boo boo baby Naita kina Jaguar Naita kina Joho na Sonko Walete madoh Mi nimelewa Kwa mapenzi yako mi nimelewa Baby mi nimelewa Kwa mapenzi yako mi nimelewa Ooh baby Ukiniguza kwa mwili na vaporate, mmh Umenichanganya changanya Akili ime-saturate Sikuwahi jua Kuna mapenzi ya kweli mama Until nikakupata Ooh I thank the Father Baby mi nimelewa Kwa mapenzi yako mi nimelewa Baby mi nimelewa Kwa mapenzi yako mi nimelewa (Ooh, eeh) Uki-smile baby girl hako kadimple Unafanya mi nafall tu vi-deep so Mapenzi yako tamu yaani sweet oh Unafanya mi nafall tu visimple Baby niko gauge, niko maji Ndani ya mapenzi Mi baby niko gauge, niko maji Sitaki story ya mambogi Baby mi nimelewa Kwa mapenzi yako mi nimelewa Baby mi nimelewa Kwa mapenzi yako mi nimelewa Physically, wacha nikupende mnyama mkali Baby manjigi (Manjigi, manjigi) Nyumbani kwetu tu ni gwiji, eeh (Gwiji, gwiji) Hey girl I cannot get enough of you, oh Na hata nikidunda I'm falling for you Baby mi nimelewa (Nimelewa oh) Kwa mapenzi yako mi nimelewa (Lewa oh oh) Baby mi nimelewa (Lewa oh) Kwa mapenzi yako mi nimelewa (Lewa oh) Nimelewa, bila wewe siwezi Nimelewa, ooh cherrie Nimelewa, bila wewe siwezi Nimelewa, ooh mpenzi Nimelewa, bila wewe siwezi Nimelewa, ooh cherrie Nimelewa, bila wewe siwezi Nimelewa, ii (ooh) Nimelewa (Ooh ii, maiya) Nimelewa (Ooh iii, maiya) Nimelewa (Ooh ii, maiya) Nimelewa (Ooh iii, maiya) Nimelewa (Ooh woah, oh aiya) Nimelewa (Oh ooh, woah ooh, woah oh) (Teddy B) Nimelewa (Lewa, lewa)
Writer(s): Wilson Abubakar Radido Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out