Μουσικό βίντεο
Κορυφαία τραγούδια από Watu Fresh
Παρόμοια τραγούδια
Συντελεστές
PERFORMING ARTISTS
Watu Fresh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Thomas Maxmillion
Songwriter
Mr Kesho
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Miz Banger
Producer
Στίχοι
Napiga mikasi kama ronaldinho
Maisha ni safi nalishwa vinono nono malikia ahsante
Oohh
Nipatie nijirambe
Woa Woa Woa
Special my wife
I give to you when you what
I don't know i don't know what to say please don't run away
Kwenye baridi chumbani
Tukeshe mazima mti wa mapenzi mi mzizi wee shina
Wooh uwo uwoo oo sweet mangi niwewee
Zakichwa tunawapiga za kichwa
Zakichwa tunawapiga za kichwa
Zakichwa tunawapiga za kichwa
Tunasema nao wakienda wakirudi
Zakichwa tunawapiga za kichwa
Asalamaaleko waleko msaalamu
Kwajina la yesu nakupa salamu
Umeni kill kill fundi show me
Njoo nikupe miuno ya kimakonde
Nimefunzwa kupenda sipigi konde
Tufanye siri mimi nawewe
Yandani tusiwape siri mwewe
Yani kama pilipili kwenye mboga
Changanya namadawa yakuoga
Penzi niwawili sio mmoja
Huba vita ya makoopa
Zakichwa tunawapiga za kichwa
Zakichwa tunawapiga za kichwa
Zakichwa tunawapiga za kichwa
Tunasema nao wakienda wakirudi
Zakichwa tunawapiga za kichwa
Asalamaaleko
Kwajina la yesu
Pompo watu washapost mapicha
Bado wakapigwa zakichwa
Pompo watu washapost mapicha
Bado wakapigwa zakichwa
Pompo watu washapost mapicha
Bado wakapigwa za kichwa
Writer(s): Mr Kesho, Thomas Maxmillion
Lyrics powered by www.musixmatch.com