Στίχοι

Wanawaza lini watanishusha (oooh) Huku baba ndio kwanza kumekucha (oooh) Zee Bado nasimamia ukucha Wenzako walikuja Gang Gang Na walikufa (tutututu) Walitoka mkuku Mana waliambulia patupu Na pisi zao nazipelekea mtutu Na minyesho kiduchu Maana siku hizi mambo ipo huku Wanalia sauti nyingi za kasuku (mmh) Ma rapper wa siku hizi hawana haya Kwa jinsi wanavyochana Kimal*ya Napenda mnavonidiss ile mbaya Tukikutana bro umetu Inspire Sasa ya nini tubishane Au unataka uninidiss ujulikane Kama unataka beef one hundred Niko on set kwenye money Tema shombo zako tuanikane Na ntamkaza dada yako tuheshimiane Mana nishawakaa kwenye koo Its about time here we go Kila ngoma natikisa nyavu niite Samagoal Na nina ball till i fall Lete Jay ni roll Niggaz please bora mniache Nishachafukwa na roho I am sorry mana hapa hampati kiki Nawaza sijui nani ntamwachia kiti Hata ingekua dala dala sitoi siti Niite mchonga barabara bibi titi Wananidiss ili wapate fame Eti ndo mambo ya game Wanahisi ntareply I am sorry my Brothers NO,NO (No No No) (No No No) (No No No) Wananidiss ili wapate fame Eti ndo mambo ya game Wanahisi ntareply I am sorry my Brothers NO,NO (No No No) (No No No) (No No No) Hold Up Wait a minute You all thought i was finish Heee kumbe nawakera kama nini Dada zaao wakiniona wote chupi chini Na nina wakaa ile kibandidu iddi amini Oyaa chawa punguzeni speed twende slow slow Na madanga punguzeni bei iwe low low Mana huku mtaani tunaa haso ile ki solo Sisi ndo wale wana ntakutumia ela tomorrow Mana kwenye mapambano Mimi ndio mfano Nyimbo zao nikisiliza nawapa red sio njano Haya nipe Tano Tembo wooooouu Harmo Kwenye mambo ya rap Natumika kama mfano Mademu vicheche nawagushi Hawakawii leta mimba za kizushi Alafu wanayajua matusi Bora tu nile zangu boujee Wananidiss ili wapate fame Eti ndo mambo ya game Wanahisi ntareply I am sorry my Brothers NO,NO (No No No) No No No No No No Wananidiss ili wapate fame Eti ndo mambo ya game Wanahisi ntareply I'm sorry my Brothers No,NO No No No (No No No) (No No No)
Writer(s): Ibrahim Mandingo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out