Μουσικό βίντεο

Diamond Platnumz - Kosa Langu (Official Audio)
Δείτε το μουσικό βίντεο του {trackName} από {artistName}

Συντελεστές

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Producer
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
Siraju Khamis Amani
Siraju Khamis Amani
Producer
Tudd Thomas
Tudd Thomas
Producer

Στίχοι

Ah! Barua yako uliyotuma kwa Ricardo Momo nimeisoma Ila nimechelewa kuijibu sababu moyoni imenichoma Eeh! Nliyo yategemea Tofauti na nlicho kiona Hata naandika hii barua Huku roho yangu inansonona Umesema nichane nguo Pia funguo umeirudisha sawa Simu niziweke kituo na sio chaguo Nikome kabisa sawa Umesema hata ile picha nzuri nliyo kukumbatia Niichane sawa Ila kinachoniumiza Mbona moja umesahau Kosa langu, kosa langu Hujaniambia Na kuniacha peke yangu Ukanikimbia Ila mbona kosa langu Hujaniambia Nami nikabaki peke yangu Ukanikimbia Ah mbona ukanichimbia kaburi Ningari bado mzima Niife nizikwe vizuri Nipotee kabisa kimya Licha ya matendo mazuri Kwa upendo na heshima Moto ukachochea tanuri Ukachoma wangu mtimaa Natamani hata ningepata nafasi Muda wakati kukutazama Unione hata japo sura Unitazame macho yangu Mwenzako wimbi limenipiga kasi Langu jahazi limezama Mnyonge mwana Sanura Wee ndio ulikuwa furaha yangu Tatizo hata nkilia wa kunifuta machozi sina Sawa na gari lisio na gear La kuiforce ipande mlima Ndio maana siishi kulalama Japo jibu moja tuu Linaloniumiza Mwenzio bado sijaelewa Kosa langu, kosa langu (kosa langu) Hujaniambia (hujaniambia) Na kuniacha peke yangu (peke yangu) Ukanikimbia (ukaenda) Ila mbona kosa langu (kosa langu) Hujaniambia (hujaniambia bado) Nami nikabi peke yangu (peke yangu) Ukanikimbia (ukaenda ooh!) Oh moyo, moyo wangu umevunjika una magongo Oh moyo! Kila sehemu nayoshika kinyamazongo Oh moyo! Hata chozi likifutika linabaki tongo Oh moyo! Najitahidi kulidhika ila nna kinyongo Oh moyo! Moyo wangu umevunjika unaa jamani Oh moyo! Hhhhmm hmm
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out