Συντελεστές
PERFORMING ARTISTS
FIZO SUPERSUB
Performer
COMPOSITION & LYRICS
FIZO SUPERSUB
Songwriter
Στίχοι
Na Huu Ni Ushauri wa Bure
Na Huu ni Ushauri wa Bure
Na Huu Ni Ushauri wa Bure
Na Huu Ni Ushauri wa Bure
We dada tumia filter filter kila Siku
Mambo ya kujiona Natural Natural iachie misitu
Na kama ujajichumbua jichubue wakusifu
Sio unatembea mweusi Weusi uwachie usiku
Wanaume Wanapenda kukesha kukesha navigodoro
So kama hauna shepu Akikisha unakigodoro
usiache kuwa na nyama nyama nyama nyororo
Mambo yakuwa mifupa we sio supu ya kongoro
Afu Wanaume wengi wanapendanga mizigo
Lakin usiseme hauna kazi maana atakuona ni mzigo
Na mkiwa chumbani muoneshe sana mapigo
Hata kama ni boss wa voda mfundishe kutumia Tigo
Oyaa wee
Tumia filter tumia filter tumia filter tumia
Tumia filter tumia filter tumia filter tumia
Tumia filter tumia filter tumia filter tumia
Tumia filter tumia filter tumia filter tumia
Na Huu Ni Ushauri wa Bure
Na Huu ni Ushauri wa Bure
Na Huu Ni Ushauri wa Bure
Na Huu Ni Ushauri wa Bure
Na Huu Ni Ushauri wa Bure
Na Huu ni Ushauri wa Bure
Na Huu Ni Ushauri wa Bure
Na Huu Ni Ushauri wa Bure
Huu ni Ushauri wa Bure Wanaume nawaelekeza
Mademu Wanapenda body mademu Wanapenda feza
Jifunze kukaza Mademu wanaojilegeza
Wakitaka kufika kileleni Hakikisha Unawalekeza
Na Huu Ni Ushauri wa Bure kwa Wanaume wa kibongo
Demu Usimuambie Ukwl Mademu Wanapenda Uwongo
Unakula chips yai lishe yako longo longo
Oya usijifanye mwamba demu mpakie mcongo
Na Huu Ni Ushauri wa Bure sema usiwe na Tamaa
Akikisha unapendeza adi waseme unajua kuvaa
Kitandani ukiwa na demu jitahidi kumuandaa
Hata km akiwa kipofu Akikisha anaona Raha
Oyaa wee
Tumia filter tumia filter tumia filter tumia
Tumia filter tumia filter tumia filter tumia
Tumia filter tumia filter tumia filter tumia
Tumia filter tumia filter tumia filter tumia
Na Huu Ni Ushauri wa Bure
Na Huu ni Ushauri wa Bure
Na Huu Ni Ushauri wa Bure
Na Huu Ni Ushauri wa Bure
Na Huu Ni Ushauri wa Bure
Na Huu ni Ushauri wa Bure
Na Huu Ni Ushauri wa Bure
Na Huu Ni Ushauri wa Bure
Written by: FIZO SUPERSUB

