Στίχοι

Mh-mmh Nani Roney? Ah, Roney (he-hey, yoh Tron) Sing, mmh, eeh Let sing, come on, eeh Sioni aibu Kwa kila linalo nifika Maana kukosea ni wajibu Mola ameshaandika Na sianguki, mimi nimechaguliwa Nnae mtegemea hachoki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa ujasiri, nakua gado kamili Ukitaka kunidhuru mie, upite kwake kwanza Mungu wangu halali, ana ulinzi mkali Na ndio mana naringa, naringa Naringa, naringa Naringa, nalindwa na mungu Msinione navimba, navimba Navimba, navimba Navimba, nalindwa na mungu Raise your glass Cheers to the Lord Roho mbaya, ubinafsi hajaumbiwa nyungu-nyungu Wala mtu mwenye maarifa Kweli mabaya sikosi, najua mazuri yangu Mtayasema nikifa ah, eh Unaniona napambana, kwa tabu na dhoruba Nilinde virogo vya walimwengu visinifike ng'o Utadhani wao hawana, umewapa vikubwa Ila bado hiki kidogo changu kinawatoa roho, eh Na sianguki mimi nimechaguliwa, aah Nnae mtegemea hachoki Hajawahi kupitiwa, hey Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa ujasiri, nakua gado kamili Ukitaka kunidhuru mie, upite kwake kwanza Mungu wangu halali, ana ulinzi mkali Na ndio mana naringa, naringa Naringa, naringa (Mimi) naringa, nalindwa na mungu Msinione navimba, navimba (ooh) Navimba, navimba Navimba, nalindwa na mungu Call me Slizer
Writer(s): Zuhura Othman Soud Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out