Στίχοι

Mi nataka kuwa nawe Wa na wewe tu Ulonifanya kuwa nawe Wa na wewe tu Aaah Aaah Mi nataka kuwa nawe Wa na wewe tu Ulonifanya kuwa nawe Wa na wewe tu Mi nataka kuwa nawe Wa na wewe tu Ulonifanya kuwa nawe Wa na wewe tu Mpenzi wangu nakupenda (nidon) Mimi kwa mwingine sitokwenda (I wont go nowhere) Mpenzi wangu nakupenda Jua kwa mwingine sitokwenda Kupenda sitochoka Milele mi moyoni nitakuweka Kupenda sitochoka Milele mi moyoni nitakuweka (I know you like it girl) Kuna watu wanachonga (chonga) Wanasema umenipa limbwata Kuna watu wanachonga Wanasema umenipa limbwata (Oh My God) Hata kama wakichonga Ujue bado mimi nakupenda Hata kama wakichonga Ujue bado mpenzi nakupenda Mi nataka kuwa nawe Wa na wewe tu Ulonifanya kuwa nawe Wa na wewe tu Mi nataka kuwa nawe Wa na wewe tu Ulonifanya kuwa nawe Wa na wewe tu Nitasame nikoconda (Alright baby) Yote kwa sababu nakupenda (See gyal them skilled out here) Nitasame nikoconda Eti kwa sababu nakupenda (Feel me with all you got) Hunache siku weza (Alright) Ufatapale wewe takokwenda (Risking them cold nights) Hunache siku weza (Okay) Ufatapale wewe takokwenda Watowana nitazoba (zoba) Wanasema eti umeniroga (baby gyal) Watowana nitazoba Wanasema eti umeniroga (I'm all on you gyal) Hata kama wakichonga Ujue bado mimi nakupenda (Freaky baby) Hata kama wakichonga (Okay) Ujue bado mpenzi nakupenda (Alright then) Mi nataka kuwa nawe Wa na wewe tu Ulonifanya kuwa nawe Wa na wewe tu Mi nataka kuwa nawe Wa na wewe tu Ulonifanya kuwa nawe Wa na wewe tu (Shirko bout to tell all of dem) Me know me wanna be with ya Baby gyal me still believe ya (believe ya) I'll take you to me work to know me won't decieve ya (decieve ya) Me love ya dats true and baby gyal you my crew (ya my crew) And girl I'll be with you if you say I love you too (I love you too) Remember last ting I let you be my boo (My boo) I never gonna say I dont wanna be with you Baby gyal you make me fantasize that way you hypnotize Ya looking at me like a fool dat make dem dumb to realize Mi nataka kuwa nawe Wa na wewe tu Ulonifanya kuwa nawe Wa na wewe tu Mi nataka kuwa nawe Wa na wewe tu Ulonifanya kuwa nawe Wa na wewe tu Yo, 2berry, Shirko, Big O Tedy Records Ya, and Metro too, yeah Yeah Mi nataka kuwa nawe (yeah) Wa na wewe tu (Yeah) Ulonifanya kuwa nawe Wa na wewe tu Mi nataka kuwa nawe (wana we) Wa na wewe tu (wewe tu ooh) Ulonifanya kuwa nawe (wana we) Wa na wewe tu (Ooh) Ooh
Writer(s): Awadh Salim Awadh Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out