Μουσικό βίντεο

D Voice - Mungu Baba (Official Lyric Audio)
Δείτε το μουσικό βίντεο του {trackName} από {artistName}

Περιλαμβάνεται σε

Συντελεστές

PERFORMING ARTISTS
D Voice
D Voice
Performer
Good
Good
Performer
Abduli Hamisi Mtambo
Abduli Hamisi Mtambo
Performer
PRODUCTION & ENGINEERING
Good
Good
Producer

Στίχοι

Wanangu leo nina stress kibao Yaani akili yangu haiko sawa Wanangu kichwa kina vitu kibao Yaani naelekea kupagawa Baba mwenye nyumba Hela ya kodi nishaleweya Hataki maelezo yaani amenitimua Mubebe mchumbaa wangu wameniibia Kisa sina helaa yaani amenikimbia Basi mungu baba nikopeshe milioni kumi Nikifa ntakuja nayo We sir God nikoposhe milioni tano Nikifa ntakuja nayo Aah hizi dharau zinanichosha Na ndo maana Mungu wangu nakukopa oonahh! Mwajuma juzi alisema atakuja ghetto (Hakujaa...! Hakuja mchizi nikala detto (Dharau...!) Amenifanya kama kichekesho (Hakuja...!) Kanigandisha stendi fenichaa keko Basi mungu baba nikopeshe milioni kumi Nikifa ntakuja nayo We sir God nikoposhe milioni tano Nikifa ntakuja nayo Ooooh ooh! Wekaaaa! Aya twende muone maajabu yake Anaogopa mende ila anapenda kifo chake Aya twende muone uyo maajabu yake Anaogopa mende ila anapenda kifo chake Aya twende bingili chali chali Kifo cha mende chalii Mama bingili chali chali (Ooooh oh!) Mpaka juu ya dali Kwanza mi mtoto wa watu sina nuksi mteke mteke Mi nikikupenda kwanza lazima unenepe Mi mtoto wa watu sina nuksi mteke mteke Mi nikikupenda kwanza lazima unenepe Kama unabisha njooo tu date uonee...! Njoo tudate uonee...! Kama unabisha njooo tu date uonee...! Uonee...!
Writer(s): Abduli Hamisi Mtambo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out