Μουσικό βίντεο

Μουσικό βίντεο

Συντελεστές

PERFORMING ARTISTS
Joshua john asey
Joshua john asey
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joshua Assey
Joshua Assey
Songwriter

Στίχοι

Chorus
MUNGU wangu ni mzuri
MUNGU wangu ni mzuri
Nimempata yeye
Nimempata vyote
MUNGU wangu ni mzuri
Verse
Uzuri wake haupimwi
kwa kujibu maombi
Uzuri wake haupimwi
Kwa kufanya kwa wakati
Hata kama asipofanya
Hata kama asipojibu
Yeye Bado ni mzuri
Hanipitishi kwenye majaribu
ili aniumize au animalize
Bali anifundishe Nitoke salama
Niwe mshindi kwa utukufu wake
Bridge
Namuona Mungu mbele yangu
Akifungua milango
Namuona Mungu mbele yangu
Akininua Sana
Namuona Mungu mbele yangu
Akinibariki Sana
Kuliko kawaida
MUNGU wangu ni mzuri
Chorus
MUNGU wangu ni mzuri
MUNGU wangu ni mzuri
Nimempata yeye
Nimempata vyote
MUNGU wangu ni mzuri
Verse
Kanifundisha kupata
Kanifundisha kokosa
Kanifundisha kumshukuru
Hata kwenye nyakati ngumu
Nimuamini yeye
Kuniambia mwanangu
Usisumbuke na Chochote
Utakula Nini
Utavaa Nini
Niamini Mimi tu
Mengine yote
Nitakuzidishia
Bridge
Namuona Mungu mbele yangu
Akifungua milango
Namuona Mungu mbele yangu
Akininua Sana
Namuona Mungu mbele yangu
Akinibariki Sana
Kuliko kawaida
MUNGU wangu ni mzuri
Chorus
MUNGU wangu ni mzuri
MUNGU wangu ni mzuri
Nimempata yeye
Nimempata vyote
MUNGU wangu ni mzuri
Written by: Joshua john asey
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...