Συντελεστές
PERFORMING ARTISTS
Beda Andrew
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Beda Andrew
Songwriter
Mordens Music
Arranger
PRODUCTION & ENGINEERING
Mordens Music
Producer
Στίχοι
Dunia Naijue Leo
Yakuwa Nimepanda Cheo
Dunia Naijue Leo
Yakuwa Nimepanda Cheo
Sasa Ni Mwana
Si mtumwa Tena
Sasa Ni mwana
Si mtumwa Tena
Imeandikwa Kwamba Ukimpokea Yesu
Yakale Yamepita Umefanyika Kiumbe Kipya
Imeandikwa Kwamba Ukimpokea Yesu
Yakale Yamepita Umefanyika Kiumbe Kipya
Kwasasa Mimi Si Yule wa Jana
(Mimi si Yule wa Jana)
Ni mtoto wa Baba
(Ni mtoto wa Baba)
Kwa sasa mimi Si Yule wa Jana
(Mimi si Yule wa Jana)
Ni mtoto wa Baba
(Ni mtoto)
Dunia Naijue Leo
Yakuwa nimepanda Cheo
Dunia Naijue Leo
Yakuwa Nimepanda Cheo
Sasa Ni Mwana
Si Mtumwa Tena
Sasa Ni Mwana
Si Mtumwa Tena
Dunia Naijue Leo
Yakuwa nimepanda Cheo
Dunia Naijue Leo
Yakuwa Nimepanda Cheo
Sasa Ni Mwana
Si Mtumwa Tena
Sasa Ni Mwana
Si Mtumwa Tena
Oweoooh weeeoh
(Oweoooh weeeoh)
Oweoooh weeeoh
(Oweoooh weeeoh)
Oweoooh weeeoh
(Oweoooh weeeoh)
Oweoooh aaaaah
(Oweoooh aaaaah)
Oweoooh weeeoh
(Oweoooh weeeoh)
Oweoooh weeeoh
(Oweoooh weeeoh)
Oweoooh weeeoh
(Oweoooh weeeoh)
Oweoooh aaaaah
(Oweoooh aaaaah)
Sasa ni mwana
Si mtumwa Tena
Sasa Ni mtumwa tena
Si mtumwa Tena
Sasa Ni mwana
Si mtumwa Tena
Sasa ni mwana
Si mtumwa tena
Sasa Ni mwana
Si Mtumwa Tena
Sasa Ni mwana
Si mtumwa Tena
Sasa Ni Mwana
Si Mtumwa Tena
Sasa Ni mwana
Si mtumwa tena
Sasa Ni Mwana
Si Mtumwa tena
Dunia naijue Leo Yakuwa Nimepanda Cheo
Dunia naijue Leo Yakuwa Nimepanda Cheo
Sasa Ni Mwana Si Mtumwa Tena
Sasa Ni Mwana Si Mtumwa Tena
Written by: Beda Andrew

