album cover
Kitu
album cover
00:00
00:15
00:20
00:25
00:45
00:50
01:00
01:10
01:20
01:25
01:35
01:40
01:45
01:55
02:15
02:20
02:25
02:40
02:50
00:00
03:02
Προηγούμενες 7 ημέρες
Το Kitu ανακαλύφθηκε πιο συχνά περίπου στο 1 λεπτά and 20 δευτερόλεπτα εντός του το τραγούδι την περασμένη εβδομάδα.

Στίχοι

[Verse 1]
Hamna kitu naweza kukuambia mpenzi labda kukusifia
Nimeona wangi kwenye dunia lakini wapi hawajakufikia
Na ulivyo chocolate black skin colour
Kama keki mchuzi wa masala
Uko neti kila idara penzi letu hatujabeti liko imara
[Verse 2]
Mechi tunazoshinda chumbani we ndo captain wangu
Unaniongoza golini mpaka napata ushindi wangu
Si siupige kelele ashi au baby tamu
Na ilivyo tamu kama chocolate walai nakupenda
[Chorus]
Haya mapenzi yananifanya nachachawa
Akichanganya ile kitu na kuwa siko sawa
Siishi kumuwaza anayenifanyaga niwe sawa
Ah ile kitu na kuwa siko sawa
[Verse 3]
And mpenzi umenifunga macho
Mwingine sioni tena
Ndege nimepata chota
Natazama penzi naota
Lazizi umenifunga mguu
Stamani toka-toka
Nnachostahili sijakosaa wouoh
[PreChorus]
Mechi tunazoshinda chumbani we ndo captain wangu
Unaniongoza golini mpaka napata ushindi wangu
Si siupige kelele ashi au baby tamu
Na ilivyo tamu kama chocolate walai nakupenda
[Chorus]
Haya mapenzi yananifanya nachachawa
Akichanganya ile kitu na kuwa siko sawa
Siishi kumuwaza anayenifanyaga niwe sawa
Ah ile kitu na kuwa siko sawa
[Refrain]
Wakitaka vita wakuchukue sweetheart
Na kitachimbika moto hautazima
Wakitaka vita wakuchukue sweetheart
Na hitachimbika moto hautazima
Written by: Abigail Anthony Chamungwana, ELIAS BARNABA INYAS
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...