album cover
Anna
646
Hip-Hop/Rap
Anna κυκλοφόρησε στις 11 Αυγούστου 2025 από Independent ως μέρος του άλμπουμ Anna - Single
album cover
ΆλμπουμAnna - Single
Ημερομηνία κυκλοφορίας11 Αυγούστου 2025
ΕτικέταIndependent
Μελωδικότητα
Ακουστικότητα
Βαλάνς
Χορευτικότητα
Ενέργεια
BPM93

Συντελεστές

PERFORMING ARTISTS
Mr. Blue
Mr. Blue
Choir
Darassa
Darassa
Performer
Lava Lava
Lava Lava
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mr. Blue
Mr. Blue
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Mr. Blue
Mr. Blue
Cover Art

Στίχοι

[Verse 1]
Ana mguu wa beer
Huyu malkia anayevutia
Na ana ana ananzemea
Ananvutia ananlilia
[Verse 2]
Ana ana ana njema tabia
Ananukia alafu pia
Ana
[Verse 3]
Amenitega na mapenzi
Ameniweka kwenye Benz
Tufanye penzi
[Verse 4]
Ei and ei ana
Anapenda mimi sio leo tangu jana
Anataka mimi ndio nimtoe uschana
Nawaza lini aolewe aitwe mama
[Verse 5]
Mtawaepushaje Dar Es Salaam
Sex na kush mpaka jua linazama
So si mitungi na minyamanyama
Leo niko na ana, ana kwa ana
[Verse 6]
Ana jicho lege la kusinzia
Shepu kula beer masaro nyanyanyanya
Wallahi Mola kamjalia, akampangilia
Kampa sifa Bwana, anaa
[Chorus]
Ananipa vyote (Anaa)
Anainama niokote (Anaa)
Ananipa-nipa love
Ana anado (Anaa)
[Chorus]
Ananipa vyote (Anaa)
Michezo ya lote-lote (Anaa)
Ananipa nipa love
Ana anado
[Verse 7]
Mapenzi kama game intaka kumaintain
Huwezi kunitoa kwako mi ni mountain
Nngekupa leseni baby drive me insane
[Verse 8]
Baby nyesha kama rain leo na tomorrow again
Huwezipima kiatu kwa macho bila kuvaa
Au ku judge watu kisa maisha ya Dar
Mara oh watakukataa, mara oh watapigwa njaa
[Verse 9]
Watoto ambao watapaa utaduwaa kwenye mataa
Utakula mapenzi naoga na kulalia
Hakuna nafasi ya mwizi kutuibia
Hakuna wakati wa kujutia kuumia
Kulialia my dear enjoy life
[Verse 10]
Dunia malkia ananipa-nipa viuno
Kama zile bar tunavunjavunja viungo
Mikato ya gate nachimba-chimba kwenye mgodi
Mchakato unakula mkia body mpaka kichwa
[Verse 11]
Kama sana
Jicho lege la kusinzia
Shepu kula beer
Maser nyanyanyanya
Wallahi Mola kamjalia, akampangilia
Kampa sifa Bwana, anaa
[Chorus]
Ananipa vyote (Anaa)
Anainama niokote (Anaa)
Ananipa-nipa love
Ana anado (Anaa)
[Chorus]
Ananipa vyote (Anaa)
Michezo ya lote-lote (Anaa)
Ananipa nipa love
Ana anado
Written by: Mr. Blue
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...