album cover
Single
album cover
Single κυκλοφόρησε στις 18 Σεπτεμβρίου 2026 από Delubro Music Group ως μέρος του άλμπουμ Single - Single
ΆλμπουμSingle - Single
18 Σεπτεμβρίου 2026
ΕτικέταDelubro Music Group
BPM97
Μελωδικότητα
Ακουστικότητα
Βαλάνς
Χορευτικότητα
Ενέργεια

Στίχοι

Verce 1
Unakuja ki four four [Four Four]
Eti unamuonesha show [Show show]
Mademu wanataka doow [doow doow]
Hizo baby baby no labda baby show
Bora uje ki boss alafu una nesa nesa
Wewe unakuja kitozi huku unajichekesha
Mademu hawapendi presha
Halafu wana kauli zao wewee tumetumwa pesa[Ahaaa tumetumwa pesa]
Ahaaaa wapi yaani utokee manzese alafu unataka demu wa masaki
Ahaaa black bora ununue sabuni tu maana hawa mademu hauwapati
Yaani kudata kudata unahisi nani utampata mpata
Hela zenyewe ndiyo chaka 2 chaka
Ukiombwa vocha mtata mtata
Chorus
Yaani utabaki single tu bablai
Utabaki single tu...weeeeee
Utabaki single tu bablai
Utabaki single tu weeeee
Nasema utabaki single tu bablai
Utabaki single tu weeeee
Utabaki single tu bablai
Utabaki single tu weeeee
Verce 2
Unaweza kuonekana chizi mazee [eheeeeee]
Ndio mapenzi ya siku hizi mazeee [Eheeeee]
Yaani ni wizi mazee [Eheeeee]
Sambusa kulilia ndizi wazeee [Eheeeee]
Eheee kwanza una buku una vibuku buku
Lazima ukalale mwenyewe
Na una duku duku
Sio wewe haisee una jishuku shuku
Umekosa demu na una lala Gina
una luku [Ahaaa]
Ebhanaa weeee Ebhanaa weee [Eheeee]
Utachomoa si ulibana weeeee
Hasalalee hasalalee bora ukakojoe tu ukalale [Eheeeee]
Yaani kudata kudata unahisi nani utampata mpata
Hela zenyewe ndiyo chaka 2 chaka Ukiombwa pesa mtata
Chorus
Yaani utabaki single tu bablai
Utabaki single tu weeeee
Utabaki single tu bablai
Utabaki single tu weeeee
Nasema utabaki single bablai utabaki single tu weeee
Written by: Alfred Felix

Loading...