Στίχοι

Linda moyo wako mama mama maama! Kuliko yote ulindayo mama aah! Maana ndiko zitokako chemichemi za uzima maaama, Zitokako chemichemi za uzima mama aah, Ulisawazishe pito na mguu wako oh! Ondoa mguu wako maovuni mama; Safari ulioianza si salama, Huko unakokwenda si salama, Kumejaa mauti si salama, Mchumba uliyenaye si salama, Anakuwazia mabaya si salama, Tazama samani zake si salama, Chunguza mwenendo wake si salama, Mwenzako mshirikina si salama, Ana mikataba na kuzimu si salama, Waganga wanamjua si salama aah wo! Utajiri ulionawo si salama, Elimu uliyonayo si salama, Na huyo uliyenaye si salama, Ingawa anavutia si salama, Hata kama ni namba nane si salama Hata kama ana shape zuri si salama Mbona atake kupima mjumba wako huyo,? Daktari anafahamu si salama, Amekimbia majibu si salama aah! Huna amani, una mashaka? Maisha yako, ni ya mashaka? Kazini kwako, una mashaka,? Ona afya yako ni hatihati, Furaha yako imetoweka,? Tumaini lako, limepotea? Ulivyozunguka sasa vyatosha, We njoo, Yesu anakupenda, Lete kwa Yesu, mizigo ya dhambi zako, wewe Tua mizigo yako, Kalvari tua mizigo yako hooo! Salama kwa Yesu salama Salama salama kwa Yesu salama, Shwari shwari kwa Yesu salama, Magonjwa hakuna, kwa Yesu salama Mauti hakuna, kwa Yesu salama, Rudi, kwa Yesu salama, Njoo, kwa Yesu salama, Rudi, kwa Yesu salama, Wewe, kwa Yesu salama Wewe, kwa Yesu salama haa! Analojina lakini si salama, Analoitwa usiku si salama! Iishi iishi kwa Yesu salama, Subiri subiri kwa Yesu salama, Tosheka tosheka kwa yesu salama, Mashaka hakuna, kwa Yesu salama, Rudi, kwa Yesu salama ,Rudi, kwa kwa Yesu salama, Wewe kwa Yesu salama Wewe kwa Yesu salama haa! Salama salama kwa Yesu salama Salama salama kwa Yesu salama, Shwari shwari kwa Yesu salama, Shwari shwari kwa Yesu salama Rudi, kwa Yesu salama, Wewe, kwa Yesu salama haa! Rudi, kwa Yesu salama, Salama salama kwa Yesu salama Salama salama kwa Yesu salama, Shwari shwari kwa Yesu salama, Shwari shwari kwa Yesu salama Rudi, kwa Yesu salama, Wololo Wolo Salama salama kwa Yesu salama Salama salama kwa Yesu salama,
Writer(s): Maureen Nkirote Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out