Music Video

Ninantamani
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Angela Chibalonza Muliri
Angela Chibalonza Muliri
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Angela Chibalonza
Angela Chibalonza
Songwriter

Lyrics

ninatamana nifanye mapenzi yake ili nifiki mbinguni kwa baba yangu ninatamani niishi karibu naye ili ninywe maji ya uzima wa milele yesu akasema mimi nimi njia ya uzima akuna awezae kufika kwa baba yangu bila kwangu mimi miminimi njia ya uzima yesu akasema mimi nimi njia ya uzima akuna awezae kufika kwa baba yangu bila kwangu mimi miminimi njia ya uzima baba natamani nikuone2 yesu natamani nikuone masia natamani nikuone maishani mwangu natamani nikuone baba natamani nikuone ninatamani niombe bila kukoma ili nifike mbinguni kwa baba yangu ninatamani niyashinde majaribu nivikwe taji, taji ya uzima wa milele yesu akasema miminimkate wa uzima atakaye nila ataona kamwe njaa bali atakaa karibu nami milele2 baba natamani nikuone2 masia natamani nikuone maishani mwangu natamani nikuone kazini mwangu natamani nikuone yesu natamani nikuone baba natamani nikuone.
Writer(s): Angela Chibalonza Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out