Lyrics

Ha ha ha ha ha Nameless Eh eeh (Eoh) Eh eeh (Eoh) Ha ha (Mr Lenny) Pa pa pa pa (Eoh) Amenipa juju, oh, oh, oh Ni majuju, nimeshachizi Amenipa juju, oh, oh, oh Ni majuju, nimeshachizi Aaah (Eoh) Aaah (Eoh) Aaah (Eoh) Aaah Ninamushuku, huyo dame musupuu Amenipa juju, namuota kila siku Nikimwona, nashikwa na kifafa Naanza kuropoka, siwezi kusikika Seniorita, take me to your leader I can be your slave and you my mamasita Na hiyo juju umenipa ni ya nguvu Siwezi kujitibu nimerogwa nayo voodoo Amenipa juju, oh, oh, oh Ni majuju, nimeshachizi Amenipa juju, oh, oh, oh Ni majuju, nimeshachizi Nimeshachizi, nipeleke 'spitali Nione dakitari, anipe tembe flani Nikimuona, nashikwa na kifafa Naanza kuropoka, siwezi kusikika Ninawika, oh mama mia Nipe mi malkia mapepo zapepea I need an antidote, namuota kila siku I need an antidote, ameroga nayo voodoo Amenipa juju, oh, oh, oh Ni majuju, nimeshachizi Amenipa juju, oh, oh, oh Ni majuju, nimeshachizi Kama nimechizi, nimerogwa Na huyu manzi ameniwai Kama ninanoki, nikicheki Huyu manzi na mini shorti Kama nimechizi, nimerogwa Na huyu manzi ameniwai Kama ninanoki, nikicheki Huyu manzi na mini shorti Na sasa nimeamua ya kwamba Mimi nitaenda kuona witchi dokta Na sasa nimeamua ya kwamba Mimi Mr. Lenny ntaona witchi dokta Amenipa juju, oh, oh, oh Ni majuju, nimeshachizi Amenipa juju, oh, oh, oh Ni majuju, nimeshachizi Amenipa juju, oh, oh, oh Ni majuju, nimeshachizi Amenipa juju, oh, oh, oh Ni majuju, nimeshachizi Aaah (Eoh) Aaah (Eoh) Aaah (Eoh) Aaah (Eoh) Aaah aaah aaah aaah aaa-ah Witchy dokta-ah Aaah aaah aaah aaah aaa-ah Witchy dokta-ah
Writer(s): Richard Allan Wakley Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out