Lyrics

Moyo Wangu, Ukae Kimya Amen. Moyo, moyo wangu Moyo wangu, usilie tena Moyo wangu, usibabaike Unaye Mungu, mkuu sana Unaye Mungu, muweza wa yote Aliingia rohoni mwangu Kanipa kutulia Kaniambia "ewe mwanangu Usilie lie tena Aliingia rohoni mwangu Kanipa kutulia Kaniambia "ewe mwanangu Usilie lie tena Ninajua shida zako Mimi nitazitatua Bila Yesu, mimi ni mtu bure Bila Yesu, mimi ni mtu bure Kati giza, Yesu mwanga wangu Kati huzuni, Yesu ni mfariji Kati vita, Yesu mwamba wangu Katika njaa, Yesu mkate wa uzima Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha Yesu mwamba wangu, mahali pa kujificha Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha Yesu mwamba wangu, mahali pa kujificha Anajua shida zangu, Yeye anazitatua Bila Yesu, mimi ni mtu bure Bila Yesu, mimi ni mtu bure Eh eh eh eh eh eh eh eh eh yooo bwana wewe Aliingia rohoni mwangu Kanipa kutulia Kaniambia "ewe mwanangu Usilie lie tena Aliingia rohoni mwangu Kanipa kutulia Kaniambia "ewe mwanangu Usilie lie tena Ninajua shida zako Mimi nitazitatua Bila Yesu, mimi ni mtu bure Bila Yesu, mimi ni mtu bure Aliingia rohoni mwangu Kanipa kutulia Kaniambia "ewe mwanangu Usilie lie tena Aliingia rohoni mwangu Kanipa kutulia Kaniambia "ewe mwanangu Usilie lie tena Ninajua shida zako Mimi nitazitatua Bila Yesu, mimi ni mtu bure Bila Yesu, mimi ni mtu bure Eh eh eh eh eh eh eh eh eh Ndani ya Kristo ninaweka tumaini langu Sijui bila wewe Bwana wangu Ningekuwa wapi Ndani ya Kristo ninaweka tumaini langu Sijui bila wewe Bwana wangu Ningekuwa wapi Eh Yahweh, we ni yote kwangu Eh Yahweh, we ni yote kwangu Eh Yahweh, we ni yote kwangu Eh Yahweh, we ni yote kwangu Eh Yahweh, we ni yote kwangu Eh Yahweh, we ni yote kwangu Eh Yahweh, Eh Yahweh Oooooh Baba Sitanyamaza Asubuhi kama vile Mchana Nitakuita wewe Oooooh baba Sitanyamaza Eh Yahweh, we ni yote kwangu Eh Yahweh, ningekua wapi ooooh Eh Yahweh, we ni yote kwangu Eh Yahweh, ningekua
Writer(s): Patrick Kubuya Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out