Lyrics

By Fathermoh ft. Swat Matire, Joefes, Odi Wa Murang'a & Harry Craze Fathermoh Benga na mugithi Nakaguza goshodo kanalilia zizi Pewa chupa kushoto kulia choma doobie Lewa anguka simama ongezewa mbili Benga na mugithi (githi) Hii ni doba inafanya uskie dhidhi (dhidhi) Alakas ona nyuma Ina bidii (bidii) Hii ni kali mnaimba juu inabidi (ayayaaa) 1 Swat Enzi za moi ka ni ras ni mungiki Enzi za Kibaki ka ni dredi we ni mwizi Enzi za uhuru dredi zikapewa huru Sikuhizi nko na dredi mi ni ras mi si mwizi Sikuhizi nko na dredi mi ni ras si mungiki Madam amka tuzitoke ki Mugithi Utakata bale ama utakata chingri Madam amka tuzitoke ki mugithi Fathermoh Benga na mugithi Nakaguza goshodo kanalilia zizi Pewa chupa kushoto kulia choma doobie Lewa anguka simama ongezewa mbili Benga na mugithi (githi) Hii ni doba inafanya uskie dhidhi (dhidhi) Alakas ona nyuma Ina bidii (bidii) Hii ni kali mnaimba juu inabidi (ayayaaa) 2 joefes Benga na mugithi Tingigisha bega ruka nikama zip imeshika fudhi Nimekuja na mbogi chunga sana usiniudhi Usiwashe bangi hapa nyumba ni ya makuti Cheza fela kuti mkia ndo sivuti Moshi ya leo nzito joh kuliko jana After marijuana ndo wengi tulijuana Chini ya maji mi hufanya ka yohana Bana Fathermoh Benga na mugithi Nakaguza goshodo kanalilia zizi Pewa chupa kushoto kulia choma doobie Lewa anguka simama ongezewa mbili Benga na mugithi (githi) Hii ni doba inafanya uskie dhidhi (dhidhi) Alakas ona nyuma Ina bidii (bidii) Hii ni kali mnaimba juu inabidi (ayayaaa 3 Odi wa Murang'a Yeah, benga na mugithi, itaasha maiti Strpper kwa iyo pole apigwe na mashilingi Ikue Kariokor sherehe sikosi mimi Hii ni tik tak toes na beat sibakishingi Mathare tulifunzangwa adi anatomy Na vitu mingi mingi buda nakupea summary Upuzi mingi mingi siku izi ndo huleta salary Bridgit Achieng' alianikwa ndethe what the fuckery Fathermoh Benga na mugithi Nakaguza goshodo kanalilia zizi Pewa chupa kushoto kulia choma doobie Lewa anguka simama ongezewa mbili Benga na mugithi (githi) Hii ni doba inafanya uskie dhidhi (dhidhi) Alakas ona nyuma Ina bidii (bidii) Hii ni kali mnaimba juu inabidi (ayayaaa) 4 Harrycraze Nabonga nabonga ju bana doba kali Na niko jaba nachonga cheki ongeza makali Hakuna sanse hapa bana rada ni safi Skiza benga na mugithi na sikuo di nari Cheki dili dali hii mistari inafanya Inafanya sana nianguke chini yaani Vic cheza mabeats joh kimseto Hakuna time (Kwani ni keshooo) Badness Fathermoh Benga na mugithi Nakaguza goshodo kanalilia zizi Pewa chupa kushoto kulia choma doobie Lewa anguka simama ongezewa mbili Benga na mugithi (githi) Hii ni doba inafanya uskie dhidhi (dhidhi) Alakas ona nyuma Ina bidii (bidii) Hii ni kali mnaimba juu inabidi (ayayaaa)
Writer(s): Moses Otieno, Joseph Getugi Nyamweya, Francis Macharia, Boniface Mwangi, Harry Otieno Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out