Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

Walisemaga duniaa ina mapambo yakee
Ukiacha majumba pesa magari ni wanawakee
Nimezungukaa nimefika kwakee, siwezi ficha nimeshanasa kwa pendo lakee
Rabana kakuumba kimwana mwenye sifa ya upole
Hata mama kakusifu sana ni tofauti na wale (Wa jana)
Kule nilizama tafadhali niokoe mama ma
Unipulize nipoe
We ndo my queen baby my only, sitopenda uende mbali one day
We ndo my queen baby my only, sitopenda uende mbali one day
Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
We kama mtoto minakubembeleza
Jiachie tu nikubebe
Na jicho lako la kungu kama lanikonyeza
Jiachie tu nikubebe
Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata
Kisura shape sio tembo nitaweka nembo watoto kupata
Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata
Kisura shape sio tembo nitaweka nembo watoto kupata
Koleza moto tupike tembele, kisamvu cha nazi njegere
Zisikutishe kelele sikuachii
Linda na shamba wasije ngedere, kuku niite kwa mchele, mi sipigani na wewe mi natii
Ndio maana kwako nimezama, sitaki mi wanitoe mama ma
Unipulize nipoe
We ndo my queen baby my only, sitopenda uende mbali one day
We ndo my queen baby my only, sitopenda uende mbali one day
Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
We kama mtoto minakubembeleza
Jiachie tu nikubebe
Na jicho lako la kungu kama lanikonyeza
Jiachie tu nikubebe
Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
We kama mtoto minakubembeleza
Jiachie tu nikubebe
Najicho lako la kungu kama lanikonyeza
Jiachie tu nikubebe
Jiachie tu nikubebe
Jiachie tu nikubebe
We kama mtoto minakubembeleza
Najicho lako la kungu kama lanikonyeza
Written by: Rayvanny
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...