Lyrics

Ayo, Lizer Wasafi Usidate na njonjo za mapenzi Vicheko bandia usoni kudeka kumbe ana pretend-i Maufundi toka Tanga na Zenji Vionjo mitego unase ashike pochi umwage chenji Anakuchanganya kiunoni shanga Marashi kama uko peponi Mtoto sauti kinanda Ya kumtoa chatu pangoni Ukishatafuna karanga Hutaki hata aende sokoni Anakuchuna mafaranga unabaki na vumbi mfukoni Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi "Baby me I like that" Nakukupamba kwenye simu, video Snapchat Kumbe hana maana hadi Mangi Anamwita sweetheart Kisa anakesha gym kutafuta six-pack Unaibiwa, unaibiwa Unaibiwa, unaibiwa Kuna kina Rose visosa Wale wapenda verosa Ukipita na shati na moka Lazima watashoboka Wakiomba lift ogopa Miguu dashboard vishoka Mchunguze cheni goroka Nywele na pochi kakopa Eh Usije kuyavamia yasije yakakutesa hawachelewagi kukimbia Kuna wenzako wanalia walizani mapenzi pesa kwenye suruali vibamia Hata ukimuonga Ferrari, hatokuona rijali Wakati chumbani we beki ukifunga moja tu chali Atakamatwa na mangangali Vijana machachali Hawachagui sehemu ya vita uvunguni na juu ya dali Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi "Baby me I like that" Nakukupamba kwenye simu, video Snapchat Kumbe hana maana hadi Mangi Anamwita sweartheart Kisa anakesha gym kutafuta six-pack Unaibiwa, unaibiwa Unaibiwa, unaibiwa Unadhani niwapekeako Kumbe wengine wameshaweka kambi Kakupendea macho Wapo wengine kawapendea rangi 'Ye ni gari la dampo Hachagui taka dereva mpe ganji Wakubadili sample Akila mihogo karoti hazipandi Unaibiwa, unaibiwa Unaibiwa, unaibiwa
Writer(s): Rayvanny Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out